nrongalema
Member
- Apr 11, 2011
- 48
- 5
Alifanya umakini upi?c kawaida kwa mawaziri makini kutemwa
Kosa lake ni lile lile lililofanya Prof. Mark Mwandosya kuenguliwa kwenye kuwania urais because ni too genuine. Prof. Mwakiyusa ni very genuine, humble na down to earth vitu ambavyo JK havipendi. Yaye na Mwandosya sio watu wa kujikombakomba, hivyo kuonekana viburi. Magufuli pia ni mzuri yuko very practical, tatizo lake ni kupenda masifa mno hadi kufikia kufanya baadhi ya maamuzi kwa masifa ili kujikombakomba kwa JK, matokeo yake baadhi ya maamuzi yake yataicost nchi hii bilions!.Ni kawaida kusikia mh. Rais amefanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri..lakini c kawaida kwa mawaziri makini kutemwa kabisa. Prof. Mwakyusa (daktari wa mwl Nyerere) alitemwa.! jamani kama kuna mtu anadata zake kuwa kosa lake lilikuwa nini mpaka mh. Rais akaamua kummwaga atumwagie..!
Prof Mwakyusa alikuwa anatetea Maslahi ya madaktari alitaka mshahara wa Dr anayeanza apewe 1.5m, na ilishawahi kuleta mtafaruku mkubwa ndani ya baraza la mawaziri lengo ni kuwa tuwe level moja na madr wa EAC coz Rwanda wanalipwa mshahara mkubwa kuliko Tz, lengo ni kupunguza brain drain, lakini aligonga mwamba. Prof Mwakyusa ni mtu makini na kikwete akiona watu makini hapendi coz huwa wanamzidi reasoning. Mara nyingi anataka weak people ili awaburuze, kwa mwenye akili huwezi mtoa prof wa Internal medicine unamweka ambaye hayupo katika prof. Hiyo. Huu ndo ugonjwa wa Jk.
Kosa lake ni lile lile lililofanya Prof. Mark Mwandosya kuenguliwa kwenye kuwania urais because ni too genuine. Prof. Mwakiyusa ni very genuine, humble na down to earth vitu ambavyo JK havipendi. Yaye na Mwandosya sio watu wa kujikombakomba, hivyo kuonekana viburi. Magufuli pia ni mzuri yuko very practical, tatizo lake ni kupenda masifa mno hadi kufikia kufanya baadhi ya maamuzi kwa masifa ili kujikombakomba kwa JK, matokeo yake baadhi ya maamuzi yake yataicost nchi hii bilions!.
Ukiwa too genuine CCM wanakuona sio mwenzao, wao wanapenda mambo ya kiunafiki nafiki tuu!. Wale ambao sio wanafiki mwisho wao ndio kama ya Mwakyusa!.
niliridhika na uteuzi..Alipoteuliwa mbona hukuuliza sababu za uteuzi wake?
Acha apumzike