THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Mimi naomba wabunge waangalie maslahi ya nchiTanzania itajengwa na MCHINA.
Hii ni Tanzania ya viwanda
Mchina kwanza nchi baadae sana.Mimi naomba wabunge waangalie maslahi ya nchi
CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge.
CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia.
Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.
Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.
Mbowe anatupoteza sana japo haturuhusiwi kutilia mashaka maamuzi yake.Ukihoji tu unakuwa msaliti.Mbowe is a disgrace to the opposition. Hivi huyu jamaa ana mandate ya kuwa mwenyekiti wa CDM kwa miaka mingapi? He's got to step down now!!
Kuna ombwe ya uongozi. Nadhani Mbowe sasa amefikia kikomo cha uwezo wake wam[pe Professor Baregu au professor Safari. Angekuwa Dr Slaa yupo haya tusingeyaona. Unajitoa Bungeni kwa sababu Mwenyekiti humpendi tukueleweje? Ndivyo walivyokutuma wapiga kura? Mheshimiwa Sugu, wewe ni Mnyakyusa na Tulia ni Mnyakyusa, angalia nexty time Wanyakyusa watakubwaga. Lakini la muhimu nadhani ni kwamba CHADEMA ni kampuni, mwenye hisa kubwa alikuwa Mbowe na Ndesamburo wakaziuza kwa Lowassa. Sasa hakuna mwenye ubavu wa kumtoa Mr Mbowe labda apate baraka za Lowassa. Lowassa naye hatathubutu kujitokeza waziwazi kwa sababu anadhani kuna siri kuwa yeye siyo mmiliki wa CHADEMA kumbe watu wanajua. KIna Mbatia na Zitto ndiyo wabunge huru waliobaki, bora wangejiangalia vizuri wakaamua mambo yao kwa maslahi ya waliowachagua siyo kwa kuburuzwa na Mbowe. Tusi[poteze muda, hili ni sikio la kufa.CCM imepata mtelezo.Ikitaka kupitisha jambo lolote bungeni bila vikwazo vya upinzani inamuambia Tulia aongoze bunge.
CCM sasa inaweza kuamua lini wapinzani wawepo bungeni na lini wasiwepo kwa kutumia msimamo wa UKAWA dhidi ya Tulia.
Haya ni matokeo ya maamuzi ya hasira ya Mbowe. Yatagharimu UKAWA na nchi pia wakati mwingine.
Kuna makosa makuu matatu wanaUKAWA (wale wanaofikiri) tunayajutia sana.Kosa la kwanza ni kukubali Lowassa awe mgombea wetu wa urais.Kosa la pili ni kugomea uchaguzi wa Zanzibar.Na kosa la tatu ni hili la kumgomea Tulia.TUNGOJE.
Hahaha ...siku ukijua siasa za nchi hii ..utatamani kufuta comments zako ...zinachezwa sinema lakini sababu ya ushabiki wetu ...tunajitengenezea wenyewe conspiracy theory kujustify ushabiki wetu ....kama tungeacha akili zetu zifikiri vyema bila kuongozwa na ushabiki ....ungejua hii michezo alafu ungejikalia pembeni tu ...Wewe ni mfuasi wa Dr Slaa, ulisikia Lowassa ni liability ukaamini hivyo... na slaa angegombea Rais angekuwa Membe na angeshinda kwa kura milioni 10.......... i am sure of that. Lowasa na nyota, hata leo akianzisha amshamsha anaweza kubadilisha mitazamo ya wengi.... Dr Slaa Who??? yule aliyetukimbia kipindi angali tunamhitaji mno? yule aliyeona na nguvu sana zaidi ya chama??? Ni vibaya sana kichwa cha mwananume kutawaliwa na Delila