Kosa kubwa sana wanalofanya wana chuo.

Kosa kubwa sana wanalofanya wana chuo.

kwanza nashukuru kwa uzi wako uliokaza, pili asante kwa ushauri wako mzuri, lkn tatu nimegundua kua shabiki siku zote huwa anatamani mchezaji angefanya vile anafikiria yeye ingekua ni vizuri km ingekua ivo.
apart from that, naomba na mie niseme yangu maana me ni muhanga
kwanza nikuulize wazani kila chuo kina ada inayofanana??? na jee wazan serikali inalipa zote? na jee wazan ni wote wanaopata mkopo wa ada pamoja na boom vyote kwa pamoja? baada ya kusema ayo napenda nikupe rough ya matumiz ya pesa chukulia mtu mwenye 80-90% ya mkopo wa ada na boom anapewa afu uyo mtu hana demu na anakaa geto la 50,000/=kwa mwezi. pesa anayoanza nayo ni 735elfu ambayo atatakiwa akate pacent amalizie ada iliobaki na inaweza ikawa bado haijaisha inategemea na chuo km cha private tufanye iyo ada ni 350elfu , bado hujalipA kodi miez 6 itakua ni 300elfu hapohapo bado hujala hujavaa vizuri kwaio matatizo hayaishi kwa iyo 735elfu yatangojea phase inayofata kumbuka umeenda kusoma hujaenda kutumia pesa kwa ajili ya kulipa madeni na kula tu kuna kazi za chuo utatakiwa uzifasnye. Phase inayofata pesa anayopata kila baada ya miez 2 na week kazaa ni 535 elfu ambayo ukiondoa pesa ya kula ktk miez miwili na izo week zake kwa mtu anaekula vizuri geto kwake sio chini ya 300k,,, unabaki na 235 kumbuka kuna shida zilizokua zimebakia kwny phase 1? aya kwny ako kahela unapunguzA shida kidogo labda umenunua mipalo, na kikawaida hutakiwi kufulia unatakiwa uwe na emergency money tuko sawa nazan.Ok phase ya 3 umepewa 535k unatakiwa umalizie kaada labda kalibakiA 250k apo swala la kodi lina load kichwani maana miez 6 inakaribia kuisha,,,, toa hela ya kula apo kisha ukumbuke hatukupiga hesabu yoyote kuhusu geto?yaan apo unalala chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hujanunua chochote ndani .ok tunaendelea iyo hela inakua imekata ivo yaan,,,,,, njoo phase ya 4 unapata ako ka 535k kodi ya nyumba imeisha, unataka kula, umalize na shida zako ndogondogo nauli na vitu vingne🤣🤣🤣🤣 huo ni mchanganuo wa mwaka mmoja wa masomo
SASA SWALI KWA IYO MIAKA TUFANYE 3 KWA MWENDO HUO APO JUU IYO PESA INATOSHA KUFANYA AYO ULIOSEMA? PAMOJA NA KUSAIDIA FAMILIA YAKO ? SANA SANA UKISAIDIA HAIZID 50K NA APO KICHWA KITAKUA KINAKUUMA KWA KUTOA HELA, AYA KUNUNUA KIWANJA KUFANYA BIASHARA NA MIRADI ULIOISEMA APO JUU BOSS IYO HELA ITATOSHA??? ANYWAY ATA KM MTU ANASOMA CHUO CHA SERIKALI ANALIPIWA KILA KITUUU AYO ULIOSEMA YATABAKI NDOTO KUMBUKA UMEENDA KUSOMA NA IZO PESA UMEPEWA KWA AJILI YA KUSOMA!!!
SIKATAI KWNY IYO HELA YOU CAN DO SOMETHING LABDA KWA KUJIKUNJA KUNJA KIROHO MBAYA UKANUNUA KIWANJA CHA 500K ILA LAZMA UPATE TABU SANA UTAISHI MAISHA PLUS[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]KUMBUKA HUJANUNUA KOMPYUTA MAMBO NI MENGIII ,,,DOGO KULE SEKONDALI YA MCHAMBA WIMA HAJAKUPIGA KIZINGA NA KUKUTENGENEZEA TATIZO LA 150K[emoji123][emoji23][emoji23][emoji23]
BAADA YA YOTE HAYA NAPENDA KUISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPA WANAFUNZI MIKOPO KWA 7BU KUNA WATOTO WA WAKULIMA WANGETAFUTANA HUKO CHUONI KM SIO KUACHA BASI NI LOW LEVEL OF SCHOLARS AMBAO NI WALE WANAOJIWEZA KWAO TUU AHSANTENI SANA [emoji123][emoji123][emoji123]
Mkuu mtu akisikia boom anajua ni hela fulan ambayo ni nyingi Sana kumbe balaah tupu, mimi nina mkopo 100% . Nalipiwa 1.2m kama Ada alaf 300k nalipa mwenyew Kama direct cost kukamilisha1.5 m, tufanye jumla ya boom Kwa mwaka ni 2.3m hapo toa 300k Kama direct cost, mim nilikuwa nakaa hostel za nje 500k,bado stationary iwe 100k, muonekano wa kichuo( nguo) 200k, Kula kila siku iwe 5000 Kama hupiki@8=1.2m........ Sasa Kwa mchanganuo huu, kweli kuna hela inayobaki apo!!!!!
 
Mkuu mtu akisikia boom anajua ni hela fulan ambayo ni nyingi Sana kumbe balaah tupu, mimi nina mkopo 100% . Nalipiwa 1.2m kama Ada alaf 300k nalipa mwenyew Kama direct cost kukamilisha1.5 m, tufanye jumla ya boom Kwa mwaka ni 2.3m hapo toa 300k Kama direct cost, mim nilikuwa nakaa hostel za nje 500k,bado stationary iwe 100k, muonekano wa kichuo( nguo) 200k, Kula kila siku iwe 5000 Kama hupiki@8=1.2m........ Sasa Kwa mchanganuo huu, kweli kuna hela inayobaki apo!!!!!
@8 miezi=1.2m
 
Kijana mwenzangu ulieko chuo chochote Tanzania hii kuanzia certificate, diploma, degree hata masters kama uliunga hebu leo tuzungumze kwa kina.

Ewe kijana mwenye level yeyote hapo juu unakuta umepanga room nje, Room yako umeijaza sofa, TV, kitanda cha 6 kwa 6 na godoro kali sana la QFL pembeni lipo upo mtungi wa gesi, rice cooker, Subwoofer au Home Theatre kwa wale wenzangu wapenda mziki. Zipo furniture za kisasa kama meza, meza za viio, kabati, kabati la nguo, viti, vipo vyombo vya chakula, ndoo n.k

Chumba walipia maybe 50,000-100,000 kwa mwezi, eneo ulipo waweza jichanganganya na raia wa hilo eneo ukapiga kazi ya maana na ikakupa pesa ndefu ya kukusomesha hata mpaka master. Kama ulibahatika una mkopo wa HESLB Mungu akupe nini tena?

Kwa shuhuli unazoweza kuzifanya ni biashara ya duka ukamuacha mtu aua hata wewe uwe una shift kulingana na vipindi vya darasani, Umelima mashamba ya mpunga, bodaboda, mahindi, maharagwe, alizeti, umefuga kuku as unaweza tengeneza banda mobile la kutunza kuku kama 50 ndugu yangu kwanini usitoboe? Kwanini usinunue kiwanja ujenge nyumba yako? ndugu na wazazi wako kwa nini usiwatumie hela ya sukari na ada hasa wadogo zako?

Ukiutumia muda wa chuo vizuri utatoboa pia kumkabidhi MUNGU maisha yako kwa maana yeye ndie mwenye maisha yetu.

Ukinunua mifuko ya mchele, maharagwe, choroko, dagaa, mahindi na mavitu mengine ya kula tofauti na ile ya kula Canteen na mboga wanunua sokoni si utakua ume save pesa nyingi sana?

Imagine sio mnywaji sana wa pombe au hutumii kabisa pia sigara, huendi club kila weekend na una demu mmoja au huna kabisa japo naamini hii ni applicable kwa watumishi wa MUNGU kwanini usifike mbali? Ukiilinda afya yako dhidi ya magonjwa ya ukimwi n.k kwanini usifike mbali?

Kama biashara itaweza kwenda vizuri unaweza ahirisha mwaka mzima wa masomo upige kazi kwani ndio utu uzima huo kwanini usifike mbali?

Mnapokosea wanachuo
1/Mnapomaliza chuo mnauza kila mlicho nacho kwa bei ya hasara hapa mnafanya makosa makubwa sana ni bora musafirishekwenu hata gaharama zikiwa kubwa vipi kwani gharama itakua ni ndogo au basi hata ikiwa kubwa kiasi still itakusaidia kwa sababu vitu vyako vitaenda kukusaidia baadae. Ukipiga hesabu eti utakuja kununua baadae we tambua gharama zinapanda huku mtu mzima dada au kaka wahitaji kuwa na familia yako na mambo mengine kwa hiyo unafanya blunders! So iwapo utauza hakikisha asilimia 85% uliyotumia kununulia inarudi hii ni kutokana na kwamba vitu ni used na vingine vimepoteza quality so used item bei yake ni chee.

2/Kurudi kwa wazazi wenu
Hapa naomba niwaambie ukweli tuu ndugu zangu mnakosea sana yani ni sawa na kuruka mkojo halafu ukanyege mavi! Huko nyumbani wafata nini? kama eneo la kuishi unalo na ni kwa bei nafuu as I know mageto wanayopanga wanafunzi ni bei chee tofauti na vyumba vya kawaida kwa nini usitulize kichwa na kuwaza utatokaje hapo geto?

Unaporudi nyumbana ukagombanie mandazi na wadogo zako na kuwasumbua wazazi wako waona hilo ni sawa? Kidume mzima huna aibu? bora hata mdada anajua ataolewa vipi wewe dume mwenzangu mkeo utamleta mje mbanane nyumba za wazazi?

Its shocking but niwaambie tuu huo muda mtakao kuwa mnasubira ajira kaeni kwenye hayo mageto mkisumbua akili mpate namna ya kujitaftia kipato na kwa Tanzania hii asilimia 100%fikiria kuhusu kujiajiri, tumia ujuzi wako kufungua huduma yako mambo ya kuwaza kuajiriwa niwapo pole. Hilo toeni akilini mwenu.

Mwisho
"The most beautiful part in human body is mind" hii quote aliyotoa marehemu Steve Jobs wa Apple.
Mimi naitumia hiyo kukushauri ndugu mwanachuo tumia akili yako, kikune kichwa chako kutatua matatizo yako! Tabia ya kurudi kwa wazazi na kujipanga eti utoke kiamaisha imepitwa...
Guys you must think wise and different acheni kuishi kwa mazoea. Get up, prays to GOD kijana kachakarike maisha ni popote sio kuajiriwa tuu. Tumia nguvu zako sasa kijana wangu kabla hazijaisha huko mbeleni ni taabu kama hukujiandaa ujanani mwako.
Wenzio tungepata fursa kama hii ungekuta tuko mbali sana kimaisha ila tumshukuru MUNGU kwa yote...
Kijana mwenzangu unapopata fursa itumie vizuri kwani hujue kesho itakuaje.
MUNGU awe nanyi ndugu.
The most beutiful part of human body is BRAIN sio mind.
 
Wanachukulia mambo rahisi, boom ukijishauwa kununua PC ya 450K utaimba na mikate na maji utapiga mizinga mpaka utasema mmh.

Sio munaongea tu kirahisirahisi
 
Mkuu mawazo yako n mazur sana kuanzia wazo la kuanzisha kitu cha kuingiza kipato na kutokurud nyumban baada ya chuo na mtu yeyote mwenye kutaka kujiendeleza katika maisha haya mawazo yako yatamfaa

Ila kusema ukweli boom la lak tano huwez nunua assets zote ulizotaja ....boom lina matumiz mengi siyo kwamba likija linakaa tu kwenye account.. Wapo wanaotumiaa boom kulipa ada...hapo atahitaj malaz...mavaz...chakula..na mahitaji mengine ya kitaaluma kama materials za kusomea

Kuna muda hata linakuwa halitoshi japo kwa yale mahitaj ya msingi tu. Me huwa sielewi wanaopata boom wanakesha club na bar wanaligawaje maana hata kwa matumiz ya msingi tu huwa sometimes halitoshi

Kuhusu kuajiri mtu akusaidie kusimamia biashara n jambo gumu uaminifu n tatizo wengi wanaibiwa kwa staili hii wanarudi kwenye umasikin kabisa..
Kumpata mtu ambaye atakuwa mwaminifu n kazi kweli kweli . mtu unakutananaye tu mjini humjui tabia vizur unamuajiri baada ya mwez anauza kila kitu anapotea.
 
Nakumbuka kipindi nipo chuo nilikua busy sana kutokana na course yangu niliyosoma ilikuwa ngumu kidogo, sasa mtoa mada unaposema watu wajichanganye mtaani kwa kufanya biashara ndogo ndogo huo muda unatoka wapi?, kuna kipindi ilifika naenda chuo asubuhi natoka usiku wa saa mbili.
Well said mkuu...siyo rahis kama anavodai ..Mimi binafsi nimekuwa na rariba ngumu kama yako yaan mtu unaspend the whole day, the whole week chuon....hata hivo maybe ametumia uzoefu wake bila kuangalia kwa wengine

Though ana mawazo mazuri
 
Mkuu mtu akisikia boom anajua ni hela fulan ambayo ni nyingi Sana kumbe balaah tupu, mimi nina mkopo 100% . Nalipiwa 1.2m kama Ada alaf 300k nalipa mwenyew Kama direct cost kukamilisha1.5 m, tufanye jumla ya boom Kwa mwaka ni 2.3m hapo toa 300k Kama direct cost, mim nilikuwa nakaa hostel za nje 500k,bado stationary iwe 100k, muonekano wa kichuo( nguo) 200k, Kula kila siku iwe 5000 Kama hupiki@8=1.2m........ Sasa Kwa mchanganuo huu, kweli kuna hela inayobaki apo!!!!!
Yaan haibaki na wala haitoshi....watu wanafikiri n hela nyingi ila ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze

They will understand
 
Wanachukulia mambo rahisi, boom ukijishauwa kununua PC ya 450K utaimba na mikate na maji utapiga mizinga mpaka utasema mmh.

Sio munaongea tu kirahisirahisi
Sio poa aisee.. Chama cha wala mikate vyuoni [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawajui hahahahhaha
Ohoooo, kuna kipindi huku saa saba mchana unaweza kupiga mihogo ya 800/= na chai ya 200/=,hapo unakua umeua lunch na tea, then saa tatu hivi usiku unagonga tena mihogo ya 800/= na chai ya 200/=.Siku imeisha hapo. [emoji23] [emoji23]
 
Ohoooo, kuna kipindi huku saa saba mchana unaweza kupiga mihogo ya 800/= na chai ya 200/=,hapo unakua umeua lunch na tea, then saa tatu hivi usiku unagonga tena mihogo ya 800/= na chai ya 200/=.Siku imeisha hapo. [emoji23] [emoji23]
Hahahahahaha

Hapo asubuh uliacha ikapita kama upepo.....Pasi ndefu chuon kawaida mkuu...watu wanadhan maisha mazur aisee
 
Hahahahahaha

Hapo asubuh uliacha ikapita kama upepo.....Pasi ndefu chuon kawaida mkuu...watu wanadhan maisha mazur aisee
Vijana waje waicheze ngoma. Sema kujiongeza pia chuoni inawezekana sana tu, just be organized.
 
Back
Top Bottom