Kosa kubwa linalorudiwa na wapinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kosa kubwa linalorudiwa na wapinzani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zamazamani, Aug 30, 2010.

 1. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Hili wimbi la wakongwe wa CCM kuhamia upinzani kipindi hiki..then mnawachekea..kitalia kitu mtashangaa!!!!!!Mnategemea nini hapo?..CCM are just very smart, wanacheza na Human Psychology..Hivi mnategemea kweli Shibuda ,Mpendazoe etc...are there for good????Hamuoni kabisa Sura zao zinavyojishitaki???...kama uko smart zaidi,unafiki haujifichi hata mara mora....
  Wajinga ndiyo.............
  See you when you get there!!!!
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu at least that too is part of democracy! and not only in TZ.
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Hao akina shibuda wakishinda watadai nyadhifa za juu kwa madai wao ndo wamekifikisha chama hapo kilipo.
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  I don't think so, maana nyadhifa kwenye chama ni kupitia kura.
   
 5. Mwanamosi

  Mwanamosi Member

  #5
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I agree with u kuwa hao jamaa ni wakutazama kwa makini kwani tumeona wengi wakikimbilia upinzani na wakishauvuruga basi hurudi kwao kama jogoo anavyorudi bandani jioni...kama kweli wana nia na dhamira ya kweli ya kujenga upinzani wasingekimbilia kuomba kugombea bali wangejipanga na kukijua vizuri chama na sera zake ndipo wagombee wakiwa wana-upinzani wa kweli wanaojua sera na mipango ya upinzani...hii inaonesha kuwa wameona wamekosa nafasi ya kujipatia ulaji CCM ndipo wamekimbilia upinzani kujaribu bahati yao huko.
   
 6. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  tuna kazi kubwa kuleta mabadiliko ya kweli katika nchi hii

  hawa jamaa walipokuwa CCM waliitwa mafisadi leo wapo CHADEMA ni wapiganaji. hii inakuwaje???? tehetehe
  sioni kwa nini na huyu Marando na uhuni alioufanya wa kusambaratisha NCCR leo aonekane ni mpiganaji?

  any way lets hope watabadilika
   
 7. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kila mtu ana umuhimu wake katika chama anapoingia..na si kila mtu akiingia tu lazima apewe madaraka fulani makubwa. Huoni Tambwe Hizza anavyotumiwa na CCM kubwabwaja tu sasa? Kabla yake nani alikuwa na kazi hiyo?
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  If we EVER get there!!!!!!!!Kinachotia naibu ni kule kuwa vigeugeu.Nasikitika Shibuda of all the people anatia aibu!Mara atake kugombea kwa kiti cha CCM,mara ageuke mzalendo baada ya kukosa kura za maoni.Hapo ni uchu tu wa madaraka.Na waseme pia kilichowazuia kuwajibika wakiwa CCM na kitakachowawezesha kuwajibika wakiwa CHADEMA...........
   
 9. Hero

  Hero JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  shibuta anatakiwa awekwe benchi, wasimpe nafasi, mpaka hapo wakapa prove beyond doubt!
   
 10. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Dah!! kwa kweli hakuna watu wa kuwaogopa kama Marando ,Shibuda na Mpendazoe..yaani unaona kabisa ni UCHU na NJAA...HAO WATAGEUKA MUDA SI MREFU..MI NAKWAMBIA!!!!...ALL IN ALL HAKUNA MKOMBOZI WA UKWELI...MIMI NACHUKIA SIASA KWA SABABU NIMEKATAA KUFANYWA MJINGA....HAIWEZEKANI ......KWA MFANO AHADI ZA CCM ...99% HAZITEKELEZEKI NI KUWAPUMBAZA WATU TU,HII NI KAWAIDA ....LAKINI HATA HII YA CHADEMA KUSEMA KWAMBA WAKIINGIA IKULU SIJUI NDANI YA SIKU 100 TUTAONA MABADILIKO,,MSHAHARA UTAPANDA,UNAFUU WA BEI,MAISHA NK ..TAFADHALINI JAMANI !!!..HATA MIAKA MITATU MLIOSEMA NI NJOZI.......I HATE POLITICS..NDIO MAANA HUWA SIPIGI KURA..NIMEKATAA KUWA MJINGA...UNLESS UNIAMBIE WEWE KAMA MGOMBEA UTANIFAIDISHA NINI MIMI BINAFSI..(NDIO UKWELI SABABU HAKUNA MANUFAA YA WOTE,NEVER!!).......SITAKI MNIAMBIE USHENZI WA 'KUPIGA KURA NI HAKI YAKO'...NI UPUUZI MTUPU....
   
 11. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  its hard to judge them, kama wako right or wrong bado ni siri sirini. Mi naona ni sawa koz hawana tofauti na jinsi HERO SLAA alivyoingia Upinzani...
   
 12. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,675
  Likes Received: 21,908
  Trophy Points: 280
  Mhh! Haya mkuu tumekuelewa, kwamba umekataa kuwa mjinga.
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ndo maana ya siasa. ukiona unanyimwa uhuru sehemu moja huhitaji kulalamika just shift. mbona hata mwera wa Tarime kahamia CUF. Rwakarare kahamia chadema, mbona hamsemi? Siasa ni mtizamo wa mtu, hasa hizi za TZ.
   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  inachekesha sana kusoma wanaufisadi wa ccm wakijifanya kuwa wanania nzuri na upinzani

  Bwa ha h ahaha
   
 15. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hivi ukiandikia herufi ndogo hautaeleweka?

  kwa mujibu wa sheria za forums (blogs etc), ukiandikia CAPS ina maana kuwa unapiga yowe, kuzomea, kulia etc.

  Je hicho ndicho unachofanya hapo juu?
   
 16. Hero

  Hero JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  hapo ndipo kosa linapoanzia, ni kwa sababu hiyo ni idadi ndogo tu ya watanzania wanaopaswa kupiga kura huwa wanapiga!
  Hii ni sawa na hasira za mkizi!
  Nenda kaonyeshe husia zako kwa shahada ya kupiga kura!
  kama hupigi kura hauna maana hata kama utalalamika! Funguka ki mawazo, hawa jamaa wapigania kura sio wendawazimu!
   
Loading...