Kosa kubwa la waTanzania ni kuwaamini viongozi mamluki wa CCM

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Mwenye asili haachi asili yaani wapinzani kuwaamini viongozi wastaafu wa CCM au waliokimbia CCM ni kosa ka jina na hawatokaa waiongoze nchi hii kwa hao ni mamluki na wako kazini kuichafua CCM kwa maslahi ya CCM .

Ya wapasa wapinzani wasimame wao wenyewe wasitegemee kina Warioba, Butiku, Polepole,nk hao ni CCM na wanaikosoa CCM kwa maslahi ya CCM.

Badilikeni mnapumbazwa!!
 
Polepole ongeza dozi yangalipo yanayo pumua pumua huku!
 
Back
Top Bottom