Uchumiwakati
JF-Expert Member
- Jul 29, 2020
- 394
- 709
Chakusikitisha na kushangaza kuna wenzake alipokuwa akiongea walikuwa wanampigia makofi
Mpina kaunguruma yukoTeam HAKI.
Maua kwa mpina 💐💐💐💐🌻🌻🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐🌸🌸
View: https://youtu.be/jDHFIU7jeoQ?si=2ycECgAXwVwl6BXi
Mama urojo debe🤣🤣Panazidi kuchangamka
Kiburi cha uzimaNa umri wangu huu sijawahi kusikia kauli za kikatili kama alizotoa huyu mwanamke. Mdomo wake unatema cheche za moto. Kwa maadili na imani yangu hata adui yako huwezi kumtamkia vile hadharani. Tena hakuna hadhara kubwa kama bungeni. Nilipokuwa namsikiliza moyo wangu ulikuwa ukitetemeka. Namsikitikia sana. Kimya cha bunge kwa kauli kama hizi kinatia mashaka makubwa. Hakika huyu aombe rehema kwa Mungu.
Lakini pia kauli zake zimenifikirisha sana juu ya uelewa na mtazamo wa jamii juu ya ukatili wa kijinsia. Tulizoea kufikiri kwamba wakatili ni wanaume kwa wanawake. Huyu leo katudhihirishia kwamba ukatili uko pande zote. Nadhani kwa wacha Mungu wakati umefika wa kuomba na kutoa sauti ya unabii zaidi juu ya taifa letu. Wanaweza kututeka na kutuua lakini kabla hawajatumaliza Bwana atawajilia wao.View attachment 3347649