Kosa afanye jambazi kupigwa apigwe raia, sio sawa

Nilitegemea wawafanye raia wawe Marafiki zao ili wawezw kupata info za watu wabaya wanaoua Wenzao,then the vice versa. Duh!!!!mbona kazi ipo Hapa jamani....!!
Hapa ndipo unajua police wetu hawana akili
 
Hiki ndicho kilichonifanya nianze uzi bila salaam kutokana na vitendo visivyo vya kizalendo vya askari polisi kupiga na kuumiza raia ambao sisi tunasema kuwa hawana hatia.

Baada ya kutokea shambulizi la kijambazi lililoua askari kadha mkoani pwani sasa imekuwa ni chuki na kulipiza kisasi kwa jeshi la polisi dhidi ya raia yeyote yule atakaeonekana anakatiza katiza barabarani kwa hari yeyote ile, ikiwemo kupigwa virungu na mashuti na ngumi mfano wa mtu anayecheza boxer, hawaishii hapo tu! bali hadi kupora mali za watu katika vioksi.

Kibaya zaidi ni pale mtaji uliozuka kwa wana usalama barabarani kuzidisha kasi ya kukamata magari na kupora pikipiki za watu na kuzifungia.

Sasa hii si njia nzuri ya kuzuia matukio kama haya kuendelea sababu yanaongeza chuki baina ya serikali na raia kwa kupitia polisi.

Angalizo

Njia ya pwani kwa sasa si salama tena kuanzia Mkuranga hadi kibiti hivyo mnaetembea ambao ni wafanyakazi wa ummah basi mnatakiwa muwe na set of ID.
Mleta uzi, utafakari upya uzi wako. Umesema wanapora vitu kwenye vioski , afu umesema askari usalama wamezidisha nn sijui barabarani yote haya yanatokea huko PWANI au?? Ni kama cjaelewa
 
Huku Pwani kuanzia Mkuranga mpaka Kibiti imekuwa Syria.Yaani hatuna uhuru wa kutembea,pikipiki mwisho saa 11 jioni baada ya hapo kitakachokukuta utatamani usingejifunza kuendesha pikipiki.Zinatobolewa tenki za mafuta,zinavunjwa taa na kipigo juu.

Nimeyasikia haya aisee,,kuna mtu alienda shambani kwake majuzi aliyayaona hana hamu nasikia, kama Nikweli siitakuwa wanazidi kujenga chuki
 
Mbona una hasira sana.Unafikiri wao ni vichaa kupiga kila wanayekutana naye.Mkuu wana kaulimbiu yao ukiiheshimu mambo kwako poa.wao wanauawa na raia hao hao au unataka watuache tumalizane wenyewe kwa wenyewe.Nina hakika ningetokea usoni kwako ungening'oa meno.
Tena mkuu unavyoendelea kuniongelesha hapa unazidi kunipandishia hasira!! "Kaulimbiu ya utii bila shuruti" haiwezi ikahalalisha kupiga watu ovyo ovyo wakae chini na wafanye mazungumzo ya kina na Raia watapata habari nyingi sana kuliko kukaa wanatupigapiga!! Huko CCP wanaendaga kusomea nini hasa?
 
Ukitaka kutibu UKIMWI lazima uue white blood cell maana vijidudu vinajificha ndani yake hakuna namna ndiyo maana tunaombea amani kila siku maana vita haina macho.
 
Akikusikia mkulu atasema ww mchochezi kwa kauli yake hii "yaani watu wanaimba kwaya kituo cha polisi! i could be IGP" kutakuwa na urafiki kweli hapa?

Kma watu wanaimba mapambio kituo cha polisi kanisani wataimba nini kuweni na adabu kila kitu kina mahali pake mbona hujisaaidi sebuleni badala yake unakwenda chooni maana yake huko ndiko maalumu kwa shughuli ile ila la kuimba mapambio polisi siyo mahali pake hata kama tunataka uhusiano mwema na raia
 
Mhalifu wa kosa la jinai ajionyeshe?

Haiingii akilini ,lazima wafanye mambo kwa siri kubwa ,

Hao wahalifu ni anoynomous ,wana plan kiakili ,

Ulaya ulaya tu ,..

Toka lini uhalifu ukitokea USA FBI wanasambaza dozi kwa RAIA ,lakini ndani ya 24hrs wanawapata wahalifu

Bara la Giza hili hakika ,
Nguvu bila akili ni tatizo
Mzigo kwa kichwa

Police uchwara
Lete wako
 
Ni heri ikawa hivyo.Uhalifu unatendwa na raia na wanaodhurika sana ni raia.Kama unaona uendelee kuhifadhi taarifa za wahalifu utakuwa unajiandalia moto ww mwenyewe na raia wenzako.Nalo hilo kuna uhitaji wa polisi kukubembeleleza umpatie taarifa wakati nyoka unamfuga ili akudhuru wewe mwenyewe?Basi ushenzi huo wa kuficha wahalifu uishie huko kwenu wapenda wahalifu na uhalifu.Mnapofuga uhalifu kiasi cha kuleta madhara kwa wanaolinda usalama wenu kuna haja gani ya kuwabembeleza muwe na ushirika nao?Ni mhalifu yupi anayeweza ua binadamu kisha ukachunguza akakubali kwenda kuonyesha silaha.Mm ni raia mwenye ndg zangu askari nina uchungu sana na raia wenzangu tunaoshabikia vitendo hivi vya kipuuzi.Walazimishwe hao kuwataja wauaji na si vinginevyo.
Fikra yako ina makengeza
 
Kma watu wanaimba mapambio kituo cha polisi kanisani wataimba nini kuweni na adabu kila kitu kina mahali pake mbona hujisaaidi sebuleni badala yake unakwenda chooni maana yake huko ndiko maalumu kwa shughuli ile ila la kuimba mapambio polisi siyo mahali pake hata kama tunataka uhusiano mwema na raia
Watu kama ninyi ndo mnanifanya niamin wale maadui UJINGA, MALAZI, UMASIKINI bado wanatutafuna na hapo ndo nakua na mashaka kuhusu hii serikal ya viwanda unakuwaje na viwanda wakat una ujinga, malaz na wakat huo ni masikin me ni mkristo sijui ww ni dini gan ila kiimba pambio ni mojawapo ya njia za kumuabudu mungu, kwa hiyo nikiwa kituo cha polis siruhusiwi kuabudu mungu wangu, na cha kukuongezea tu kitabu changu (biblia) kinaniruhusu kumwabudu mungu mahali popote pale!
 
Acha upumbavu na ulimbukeni kila kitu kina mahali pake Kituo cha Polisi siyo eneo la kuabudia wala kuimba kwaya kwakuwa halina dini , ikiwa Muislamu naye akisema akaswali pale hiyo vurugu itakuwaje? na wewe kwa vyovyote ni limbukeni wa kilokole maana walokole mnakuwa kama vichaa mkidhani mnamtumikia Mungu kumbe shetani ndiyo anayewaongoza ni katika mazingira gani unaweza salia polisi? Labda iwe umewekwa ndani kwa sababu ya kumfuata mwendawazimu mwenzenu Gwajima aliyegeuza eneo la kuabudia kuwa eneo la mipasho na wanasiasa. Biblia haijakuagiza upayuke popote kwakuwa Mungu siyo kiziwi ndiyo maana Yesu alikuwa anakaa faraghani na kusali toa ujinga wako hapa.
 
Dah! Jamaa unajua kutukana, sema me sijui kutukana maana ni upuuz kumtukana mtu badala ya kumuelewesha, lait kama ningekuwa najua kutukana ningekuita LIMBUKEN NAMBA MOJA LA MAKUBWA JINGA ila basi tu, na ninavyojua kubwa jinga haachi kutukana, utatukana tu tena labda uwe sio kubwa jinga!
 
Mimi sio askari polisi.. Ila najua kwann mnafanyiwa hivo.

Acha RAIA muoane
 
Kwa mazingira ya tukio lile, kwa mtazamo wangu sio majambazi,haiwezekani viongozi na police tu ndio wauwawe,na wakiua kiongozi hawachukui kitu chochote,Nasema police intelejensia yao imekwama kabisa?kupiga RAIA kama ni kweli basi hatuna police,nu henge la wahalifu liliosajiliwa kisheria ,Zaman police walikua na makachero wakali kugundua tatizo,Nawashauri badala kujenga chuki zaidi na RAIA na kupoteza kabisa uchunguzi,wapeleke makachero wao kule wakae hata miaka,watapata kitu,kupiga ndio kabisaa hatopata ufumbuzi,na wakae wakijua wahusika hawawezi kukaaa eneo la tukio lazma kwa Sasa wako mbali sana,Hapo watakuwa wanapiga na kukamata RAIA waso na hatia,
 
Back
Top Bottom