Kortini kwa kusema rais Mugabe ni 'Mzee'

Kortini kwa kusema rais Mugabe ni 'Mzee'

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
160218133753_mugabe_640x360_reuters_nocredit.jpg


Rais Mugabe

Afisa mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya kulaumiwa kwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye sasa ana umri wa miaka 92 ni mzee sana kuwa kiongozi.

Thomson Joseph Mloyi pia anadaiwa kumtusi mkewe rais Mugabe, Grace, kuwa kahaba kwa mujibu wa gazeti la kibinafsi nchini humo.

160105122720_grace_mugabe_512x288_ap_nocredit.jpg

Thomson Joseph Mloyi pia anadaiwa kumtusi mkewe rais Mugabe, Grace, kuwa kahaba.

Bwana Mloyi aliachiliwa kwa dhamana ya dola 100 na anatarajiwa kufikishwa mahakamani tena tarehe 15 mwezi huu.

Mugabe ndiye kiongozi wa umri mkubwa zaidi duniani baada ya kutimia umri wa miaka 92 mwezi uliopita.


Kortini kwa kusema rais Mugabe ni 'Mzee' - BBC Swahili
 
Dah haya maisha bana ,Huyo mkewe Mugabe ndio kwanza ananawiri miaka 50 wakati kibabu 92 ,Mugabe anakataa yeye sio babu ama ?
 
Back
Top Bottom