Wana jamvi,
Naomba kuwaeleza kwamba wilaya ya korogwe jinsi ilivyo hasa kimageuzi, kwanza stasheni za radio hapa ni TBC na redio mmoja ya huko muheza hakuna station nyingine halafu upande wa tv ni tbc tu, hivi kweli unategemea hawa watu wawe na mwamko wa mabadiliko kweli,
najuta kuhamishiwa kikazi hapa ila ntawapata wangu wa kujoin M4C
NAWAKILISHA😛eace: