Korea Kaskazini yarusha kombora katika bahari ya Japan

Korea Kaskazini yarusha kombora katika bahari ya Japan

Hata Saddam mlikua mnamwambiaga vivyohivyo akabwetika na sifa za plastic akajikuta jandoni
Acha kuwa na akili za kidada dada kiasi hiki ww , eti unamfananisha na Korea na yule boya Saddam , wapi na wapi .
Acha kuishi kwa kukaririshwa kijana.
Juzi USA kajidai kuoeleka mimeli ya kivita lkn mwishowe kaufyata then now anabwekabweka km mbwa koko.[/QUOTE]

Inawezekana kiumri uko sawa na binti yangu wa mwisho inakua ngumu sana kwako kujua nini saddam alikifanya kwa vita ya ghuba kuna uwezekano mkubwa kipindi hicho either ulikua unatambaa au ulikua bado umo kwenye karanga
 
Mapema jana koroea kaskazini ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kurusha kombara lenye masafa marefu(ICBM) kitendo ambacho marekanj imekiri kuwa wakati wowote nchi yao yaweza kuwa hatarini dhidi ya NK.
Marekan kutoka waziri wake wa ulinzi ilithibitisha kuwa kombora hilo lilikuwa na uwezo wa kufika nchini kwake Alaska bila ya kizuizi chochote,hasa ukizingatia tayari walishajiwekea ulinzi wa ant balistic missile.

Karibun wakuu tutadadavue hili.
 
Hata Saddam mlikua mnamwambiaga vivyohivyo akabwetika na sifa za plastic akajikuta jandoni
Hahahahahahaha[/QUOTE]
Huyo dogo mapanki kupigwa atapigwa ...ila atamuachia Marekani jeraha kubwa sana ....na lazima mmarekani atayumba mpaka kwenye uchumi
 
Mapema jana koroea kaskazini ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kurusha kombara lenye masafa marefu(ICBM) kitendo ambacho marekanj imekiri kuwa wakati wowote nchi yao yaweza kuwa hatarini dhidi ya NK.
Marekan kutoka waziri wake wa ulinzi ilithibitisha kuwa kombora hilo lilikuwa na uwezo wa kufika nchini kwake Alaska bila ya kizuizi chochote,hasa ukizingatia tayari walishajiwekea ulinzi wa ant balistic missile.

Karibun wakuu tutadadavue hili.
wanachojaribu kufanya wengine ni kuavoid vita ya silaha za nuclear siyo kwa sababu wanaogopa kupigwa bali wanaangalia madhara yatakayojitokeza... vita haiwezi kuishia kwa marekani na north Korea tu kama nchi nyingine zitaifumbia macho north Korea its a suicide note for everyone
 
Acha kuwa na akili za kidada dada kiasi hiki ww , eti unamfananisha na Korea na yule boya Saddam , wapi na wapi .
Acha kuishi kwa kukaririshwa kijana.
Juzi USA kajidai kuoeleka mimeli ya kivita lkn mwishowe kaufyata then now anabwekabweka km mbwa koko.

Inawezekana kiumri uko sawa na binti yangu wa mwisho inakua ngumu sana kwako kujua nini saddam alikifanya kwa vita ya ghuba kuna uwezekano mkubwa kipindi hicho either ulikua unatambaa au ulikua bado umo kwenye karanga[/QUOTE]
kama ww ni mzee basi utakuwa mzee hovyo hovyo sana..
 
Watu wengne sijui mkoje..
Link ulikaa na raia wa N.Korea wakakumbia kwamba hawapendi rais wao??
Acheni kuongelea msiyoyajua
we unaongea unachokijua au unachopenda kuongea... ni kweli kuna raia hawapendi sheria Kali alizoziweka nchini kwao at least Mimi naongea nilichokifuatilia mtandaoni sijui wewe ndugu yangu
 
Kama Marekani wana-test makombora yao kwanini iwe nongwa kwa DPRK? Lazima waheshimiane.
 
ni kweli marekani ana vichwa vya nuklia karibia mia sita huku north korea akiwa na navyo nane au kumi kinacholeta utata ni kwamba marekani anaogopa kuwa n korea anaweza tumia nuklia ktk vita ujue nuklia ni nuklia hata uwe nazo kumi mimi moja lkn nikikutwanga nayo madhara ni makubwa hivyo ndicho usa anaogopa pili usa anaogopa kuwa inawezakan nyuma ya korea kuna china na russia na nchi zote za serbia iran ndicho anaogopa anaweza changiwa kama mbwa mwitu huku russia akiwa na nuklia mia saba ....binafsi napenda north korea ahinde ikitokea vita lkn je uwezo huo anao? ila tekmolokia ya mkorea ipo juu sana kwa kipindi hiki akiwa na mipango kadhaaa
Marekani anayo support kutoka NATO ambayo ina nchi karibu zote za ulaya isipokuwa Russia so hata yeye hawezi kupigwa kirahisi japo Zana za kivita za Russia ndizo hasa zinawaumiza vichwa NATO na marekani lakini vita hii haiwezi kuwa rahisi kwa upande wowote ni madhara tu yatakuwa makubwa kwa kila nchi
 
Huyu ataiyaribu nchi yake mwenyewe kama middle east,Libya na Iraq

Kinachotokea Syria ndicho kitachofuata kwake USA anaandaa propaganda ya kuwavuruga wenyewe kwa wenyewe ni swala la muda
 
Inawezekana kiumri uko sawa na binti yangu wa mwisho inakua ngumu sana kwako kujua nini saddam alikifanya kwa vita ya ghuba kuna uwezekano mkubwa kipindi hicho either ulikua unatambaa au ulikua bado umo kwenye karanga
kama ww ni mzee basi utakuwa mzee hovyo hovyo sana..[/QUOTE]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom