Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,305
- 6,706
Siku likosee njia likatue Chato ndo watajua kuwa makinikia hayajawahi acha MTU salama..
Kama huziamini za north Korea unaziamini zipi?
Na kama hazina madhara kwann kila kukicha huyo shoga wenu Trump na washirika wake wanalialia kila siku?
Wabongo mnashangaza sana USA na ubabe wake ameukubali mziki wa n.Korea na anaugwaya lakn chaajabu nyinyi wa sikonge na chanika mnabisha bisha tu
Hahahahahahaha[/QUOTE]Hata Saddam mlikua mnamwambiaga vivyohivyo akabwetika na sifa za plastic akajikuta jandoni
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Siku likosee njia likatue Chato ndo watajua kuwa makinikia hayajawahi acha MTU salama..
Yeye anapenda kujribia pande hizo hizo za japan siwayadunguwe siwanazo technology au haya majaribio ya kiduku yanafanyika kimazingaubwe maana marekani wanapiga doria sana kwenye hayo maji ya japan si wana ma meli vita yenyeuwezo wa kuona ata sindano waya dake wamwambie we tunadaka na tunauwezo wakuyadakia hapo hapo kwako!!!Awe anayarusha ndani ya nchi yake asiyarushe kwenda bahari za watu.yeye kama kidume alilushe lije kitue lugalo atakiona cha moto atanyolewa kiduku bila wembe
Siku akipigwa mtasema kaonewa
Kwani hamjui? Leteni pua muone
kwan hana haki ya kutest zana zake? mbona US anatest?
Anachokitafuta atakipata, naona damu za nduguze zinamuandama
Dogo ongeza kasi. No small king( No smoking)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku likosee njia likatue Chato ndo watajua kuwa makinikia hayajawahi acha MTU salama..
Hana lolote North Korea hana hata intercontinental nuclear missile washirika wake ndo wanaompa jeuri ya kuchokoza watu.. kwa mwendo huu world war III haipo mbaliNorth Korea hajamchokoza mtu yeye anafanyia mjaribio silaha zake.
Anayejifanya kukerwa na kitendo hicho aingie msituni kama atauweza mziki
wanamtafutia loophole tu wammalize... walioshindana na marekani almost wote wameishia pabayaWenda wanamtafutia timing ili wamtulize.
North Korea akisema atume mabomu yakaiangamize marekani yote yataishia baharini tu Ila yeye wakimfungia kazi masaa24 tu yanatosha kumaliza ubishi.. wananchi ndo watakaoumia bila hatia isitoshe hata raia hawampendi kiongozi wao wanaogopa kusema tu kwa kuhofia ukatili wakeKama huziamini za north Korea unaziamini zipi?
Na kama hazina madhara kwann kila kukicha huyo shoga wenu Trump na washirika wake wanalialia kila siku?
Wabongo mnashangaza sana USA na ubabe wake ameukubali mziki wa n.Korea na anaugwaya lakn chaajabu nyinyi wa sikonge na chanika mnabisha bisha tu
Acha mkwara kwa kutumia keyboard, hayo mashambulizi ya US yameishia wapi maana mlileta analysis hapa kuhusu uwezo wa US tumesubiri NK apigwe hakuna kitu.Kwa silaha zipi?
Au unaziamini hizi anazozijabu?
Atapata shambulizi la kushtukiza ataamkia aheraaaa!