Korea Kaskazini yarusha kombora katika bahari ya Japan

Korea Kaskazini yarusha kombora katika bahari ya Japan

North Korea akisema atume mabomu yakaiangamize marekani yote yataishia baharini tu Ila yeye wakimfungia kazi masaa24 tu yanatosha kumaliza ubishi.. wananchi ndo watakaoumia bila hatia isitoshe hata raia hawampendi kiongozi wao wanaogopa kusema tu kwa kuhofia ukatili wake
Wambie kwanza hao wamarekani unao waamini wayadake kwanza hayo makombora ya north Korea kabla ya kufika bahari ya japan ilituthibitishe wanaweza fanya unachofikiria kinawezekana!!
 
Awe anayarusha ndani ya nchi yake asiyarushe kwenda bahari za watu.yeye kama kidume alilushe lije kitue lugalo atakiona cha moto atanyolewa kiduku bila wembe

Mkuu Sea of Japan or East Sea/Bahari ya Japan ni bahari iliyopewa jina la Japan na imestretch kwa baadhi ya nchi kama Russia, NK, SK pamoja na Japan wenyewe kama ilivyo kwa Bahari ya Hindi haimaanishi ni ya wahindi peke yao maana hata sisi Tz tunaimiliki.

Kwa hiyo hilo kombora kuangukia katika bahari ya Japan haimaanishi limeangukia kwenye maji ya japan ila imeangukia kwenye bahari ya Japan lakin katika maji ya NK.
 
Wambie kwanza hao wamarekani unao waamini wayadake kwanza hayo makombora ya north Korea kabla ya kufika bahari ya japan ilituthibitishe wanaweza fanya unachofikiria kinawezekana!!
hujui unachokiongea fanya research siyo unaleta ushabiki tu
 
[QUOTeverKING, post: 22020768, member: 223391"]Ni miaka mingapi sasa huyo mmarekani anaishia kupiga kelele tuu?

Mtu mzima hatishiwi nyau.
Hata Saddam mlikua mnamwambiaga vivyohivyo akabwetika na sifa za plastic akajikuta jandoni[/QUOTE]
Acha kuwa na akili za kidada dada kiasi hiki ww , eti unamfananisha na Korea na yule boya Saddam , wapi na wapi .
Acha kuishi kwa kukaririshwa kijana.
Juzi USA kajidai kuoeleka mimeli ya kivita lkn mwishowe kaufyata then now anabwekabweka km mbwa koko.
 
Yeye anapenda kujribia pande hizo hizo za japan siwayadunguwe siwanazo technology au haya majaribio ya kiduku yanafanyika kimazingaubwe maana marekani wanapiga doria sana kwenye hayo maji ya japan si wana ma meli vita yenyeuwezo wa kuona ata sindano waya dake wamwambie we tunadaka na tunauwezo wakuyadakia hapo hapo kwako!!!
Kama hawatuuziagi maneno hawa wamarekani!!
Sasa ukilidungua utajuaje uwezo wake kwamba lilisafiri juu umbali gani, lilikwenda urefu gani, nk
 
Acha mkwara kwa kutumia keyboard, hayo mashambulizi ya US yameishia wapi maana mlileta analysis hapa kuhusu uwezo wa US tumesubiri NK apigwe hakuna kitu.
Endeleeni kusubiri, lazima apigwe!!
 
Ni lazima US washike adabu.
Sisi hatupangiwi cha kufanya.
Thanks Kim Jong Un.
 
Makinikia yametushinda ila sisi wataalamu wa mambo ya vita vya kimataifa
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Attachments

  • IMG_20170705_064421_333.jpg
    IMG_20170705_064421_333.jpg
    81.2 KB · Views: 31
Hana lolote North Korea hana hata intercontinental nuclear missile washirika wake ndo wanaompa jeuri ya kuchokoza watu.. kwa mwendo huu world war III haipo mbali
Anayo baba yako basi
 
North Korea akisema atume mabomu yakaiangamize marekani yote yataishia baharini tu Ila yeye wakimfungia kazi masaa24 tu yanatosha kumaliza ubishi.. wananchi ndo watakaoumia bila hatia isitoshe hata raia hawampendi kiongozi wao wanaogopa kusema tu kwa kuhofia ukatili wake
Watu wengne sijui mkoje..
Link ulikaa na raia wa N.Korea wakakumbia kwamba hawapendi rais wao??
Acheni kuongelea msiyoyajua
 
Back
Top Bottom