Korea Kaskazini vs Marekani katika picha

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,091
Reaction score
15,208
Hapa nitamfungueni macho kidooogo Korea ....
USA Mwaiona daileeee hivyo utalinganisha kwa kutumia
nafsi, roho, akili na fahamu za kipimo chako.

Kuingia jiji la
Pyongyang,

Alama ya chama chao cha wafanyakazi,kam ilivyokuwa NUTA,JUWATA,OTTU na blah blah

Hilo jengolenye kama pembe tatu ndilo jengo refu zaidi duniani lakini hutalisikia kisa haelewani na mashoga (USA)

Hii ni Juche tower kando ya Mto Taedong

Hapa ni Manyongdae kituo cha watoto

Na hapa ni mitaa ya uswahilini,umeme umekatika lakini picha ya baba wa Taifa lao umeme unawaka tehteh

Je umeona crane hapo? naam hakuna hii nikwa sababu watu wapate vibarua na rizki

Kambi ya vijijini wakichota maji mtoni

Hapa ni kama pale mtaa wa samora tulipoweka sanamu ya yule ashari wa kikenya kwa niaba ya walopigana vita kuu ya 2 ya wazungu.

Hapa ni mtaa maalum kwa waenda kwa miguu

uwanja wao wa Taifa

kukaa mtu 150,000

hapa kama water world

hapa ni kama sie tunapocheza ngoma zetu za jadi

Kituo kimojawapo cha mambo ya sayansi na teke linalokujia

eba na ee kama kamtambo ka NASA

Huu ni mji unaohusiana na mambo ya sayansi tu

Makazi ya uswazi
Kama magorofani

Dhifa za kitwaifer
Toa maoni yako .....................
 
Sina tatizo Na wakorea kufanikiwa hivyo, Si wamewekeza?, sikubaliani Na wewe unaposema mambo yao mazuri hayajulikani kwa sababu eti haelewani hao (tusi) wamarekani!, wamarekani wanajitangaza kufuatana Na mfumo wa kibiashara Na lugha wanayotumia/tunayotumia, hata waarabu wamejulikana makubwa wanayofanya kwa kujitangaza tena kwa lugha ya kiingereza.
 
Mtu ukisikia kuhusu korea kask kuna ujamaa na wanaishi kwa sheria kali plus vikwazo vya kiuchumi walivyowekewa na mataifa yaliyoendele unaweza jenga picha ya kwamba kunafanana na Somalia kumbe majamaa wapo level nyingine kabisa. Kukingiana kifua na mmarekani sio issue ya kitoto
 
Hao wa korea nimekaa nao hapo ikungi tumelima sana viazi ni watu hawana nguvu kabisa. Cjui walikua wananidanganya ni makorea kumbe wa kwa zulu Nataal
 
Unajua hawa jamaa kuna tafiti flani niliona kimakadirio japo hakuna utafiti uliofanyika nchini mwao inaonyesha IQ yao ni 103, tatizo la jamaa hizi Sera zao zimekaa kikauzu Sana maana vitu vingine huwezi Fanya pekee yako siku zote.
 
Na hata mimi huwa nafikiri hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…