KOREA KASKAZINI maamuzi magumu ya raisi

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
Kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong-un amesema uamuzi wa kumnyonga mjomba wake Chang Song-thaek kwa kosa la uhaini, umeongeza umoja wa kitaifa.
 

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,847
2,000
Wlifanya vile ili kila mtu atii serikali na kuonesha serikali haina ubaguzi. (every one is expendable)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom