KOPLO awa star GAFLA soko JUU!

KOPLO awa star GAFLA soko JUU!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1398880122.711351.jpgView attachment 154919
 
Tized njoo muone police wako hapa sijui kafanyaje
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huu ndio utamaduni wetu wa asili sisi waswahili na tuko radhi kukaa na njaa bila kuukosa huu uhondo na tuko tayari kabisa kuetelekeza familia bila huruma tena na watoto na tunahamia kwa kimada na hasa pale tunapo pokea mshahara na ukimalizika kamshahara ndio hurudikwa familia sasa hapo ni starehe au ni mateso tena makubwa
 
Back
Top Bottom