Kopesha ushangazwe

Noma Sana Mkuu wanakuwa wapole wakishapata kibunda jeuri sijui ni matatizo ya afya ya akili au umasikini I don't know.
 
Hakika Mkuu noma Sana.
 
Bora lawama
 
Kwa uzoefu wangu, ni asilimia 10 tu (au pungufu) ya watu ambao unaweza kuwakopesha na wakarudisha kwa wakati bila tatizo. Waliobaki, kuna mawili, ama usirudishiwe kabisa, au urudishiwe baada ya kugombana sana!!
Aisee noma Sana Mkuu tutakuwa tunashindwa kusaidiana kisa kukosa uaminifu Mdogo Mdogo.
 
Mimi Kuna demu aliniface for the 1st time alitaka laki4 nikasema nayo nusu laki2 akasema ndani YA week atanipa

Kilichofuata akawa hapokei simu (Dah Shida aisee) demu mwenye tulisoma naye chuo...Na alikuja personally kuwa ana Shida..tulikuwa Na miaka Zaidi YA Kumi bila kuwa Naawasilano YA moja Kwa moja...as of now hata sh Kumi hajarudisha..niliamua samehe
 
Japo nimempunguzia nusu ya deni... Lakin analikwepa, shida ni kuwa ana madeni mengi
Wengine wanakopa huku ili walipe upande wa pili mwisho wasiku ajikuta na madeni mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…