Koo zingine zimetokana na Nyani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Koo zingine zimetokana na Nyani.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bra-joe, May 3, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Mtoto mmoja alimuuliza mama yake, " binadamu tumetokana na nini"? Mama yake akamjibu, "zamani binadamu wote tulikuwa nyani, halafu nyani wale wakawa wanabadilika kidogo kidogo mpaka wakawa binadamu unaowaona sasa."baadaye akamuuliza Baba yake swali lilelile, baba yake akamjibu "hapo mwanzo wa Dunia Mungu aliwaumba Adam na Eva, halafu hawa walizaana mpaka wakaijaza Dunia." Mtoto akaguna, kisha akamuuliza tena baba yake, "mbona mama ameniambia binadamu tometokana na nyani? Baba yake akamjibu, "mimi nimekueleza historia ya ukoo wetu na mama yako alikueleza historia ya ukoo wao."
   
 2. Justin Dimee

  Justin Dimee JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 1,148
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Teh baraha ilo mmh kwaiyo mama ndo vile tena hapo.!
   
 3. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Haa haaaa, mkuu hebu na ww tupe historia ya ukoo wako.
   
 4. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh hii kiboku
   
 5. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  kasome Biblia kitabu cha mwanzo utaipata.
   
 6. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dui! Ha ha ha!Kali sana hii.
   
 7. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hiyo huyo dogo nanii tyson atakua ni mjomba wake
   
Loading...