Kie kie kie kie JF kuna vituko dah!!
usicheke mkuu.. utanichekesha na mimi..
Kie kie kie kie JF kuna vituko dah!!
napenda kula nikiwa nachati
yaani siwezi tulia kwa kweli , huwa nakuta chakula kimekwisha ghafla na koo kuniuma!
dawa yako imechanganyika na maumivu ndani yake, nimeshindwa kuitumia!!
changarawe na juice ya cement, wee..........unaajenda ya kunimaliza mimi na koo langu?!!
Dawa yako imenishinda!
basi nimekubali mkuu picchu
kuna jamaa hapa kanishauri niwe nakunywa uji!
Ushauri mwingine utasema ni sawa na nguvu za giza;
hivi ni lini tutakuwa walau waungwana kidogo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]kwenye kuku huwa hiyo hali ina faida gani? Je wewe hutaki faida hiyo? Kuna kitu kinaitwa evolution. Labda ndo inaanzia kwako na vizazi vijavyo vtakuwa hivyo. Kumbuka binadamu tulivyo sasa sio tulivyoanza, kumekuwepo na maboresho kulingna na mahitaji na ugunduzi mbalimbali. Hata Microsoft ana version mbalimbali za Windows
Ha ha ha!!ukiona vipi ugali uwe unasaga kwenye brenda kama hauna basi hata kwenye jiwe si mbaya then unaunywa kama uji!