Konyagi bandia

Konyagi bandia

Sasa hata mimi naamini kuwa Kampuni inayotengeneza konyagi ndio hao hao wanajaza gongo kwenye viroba vya konyagi.Haiwezekani kwa watu wengine kukutwa na contena zima limejaa pakiti tupu za konyagi.
 
Kwa kweli tukidhurika na hizi feki TDL mna kesi ya kujibu,hamchukui hatua yoyote kulinda wateja wenu
 
TDFA wameishia kukamata vipodozi,maana huko kuna pesa
 
Doh! Kwel kazi ipo km ndo hivi,,ss orijino tutazitambuaje wadau? Na za chupa pia wanatoa feki??
 
konyagi gani ukinywa kidogo tu mavi yanasukuma chupi?
 
Konyagi nyingi ni fake, za sachets na za chupa pia. Toka kitambo watu wanatengeneza huku mitaani.

Kuzitambua ndio kuangalia jinsi sachets zikivyokatwa. Wembe wa kukatia sachets za TDL uko tofauti na nyingine zote. Kwa chupa geuza chupa juu, chupa ya konyagi O.G inanembo ya T na kama vimeno meno kwa chini

Kuzitambua grants fake, angalia vifuniko juu kabla hujaifungua, vinakuwa vimepishana kwenye kufunga. Pia inakuwa na light color na harufu yake haijatulia vizuri.

Pombe kali nyingi ni fake, bora kunywa wine za hapo Dodoma tu.
 
Kuna kibanda kiko pale msimbazi opposote na police station wanauza viroba balaa 24Hrs kwa bei rahisi. Vile ndio feki haiwezekani kiroba cha 1500 kiuzwe 800au 700. raia wanajaa toka saa 1 asubuhi mpk 6 usiku wanagombea tu.
 
Kunywa Londony dry. moja ni sh 400, mbili ni sh 800, tatu 1000
 
daaah comment za wapiga nyagi zinafurahisha kweli
 
Duuuh kumbe ndio maana juzi nimepiga kamoja tu mchepuko acha umaind maana nilikua Bwiiiiii!!!!
 
Maboss wa kampuni ya konyagi wafuatilie kwa karibu jambo hili kunusuru afya za Watanzania.
 
Back
Top Bottom