shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Kunywa viroba tu kuondoa tatizoMimi ni mnywaji kidogo wa kinyagi, hasa weekend, tatizo ni kufungua kinywaji hiki, mara upige kwa chini, mara uinamishe juu chini, yaani ni shida tu. Sasa uwe umekosea kidogo, ni lazima utafute kisu ukate sill.
Mimi ni mnywaji kidogo wa kinyagi, hasa weekend, tatizo ni kufungua kinywaji hiki, mara upige kwa chini, mara uinamishe juu chini, yaani ni shida tu. Sasa uwe umekosea kidogo, ni lazima utafute kisu ukate sill.
3500-5000Chupa ndogo konyagi kwa sasa sh ngapi?
Kimiminika chochote chenye mfuniko wa bati na seal kwenye chupa ya kioo inamisha kichwa chini kisha irudishe juu halafu fungua taratibu, kamwe Usijaribu kuipiga kwenye kitako ni hatariMimi ni mnywaji kidogo wa kinyagi, hasa weekend, tatizo ni kufungua kinywaji hiki, mara upige kwa chini, mara uinamishe juu chini, yaani ni shida tu. Sasa uwe umekosea kidogo, ni lazima utafute kisu ukate sill.
MNYWAJI UPO?3500-5000
Mimi ni mnywaji kidogo wa kinyagi, hasa weekend, tatizo ni kufungua kinywaji hiki, mara upige kwa chini, mara uinamishe juu chini, yaani ni shida tu. Sasa uwe umekosea kidogo, ni lazima utafute kisu ukate sill.
Cheo kipya siku hizi ni mlipa kodiMNYWAJI UPO?