Kontena laanguka barabarani Taa za TAZARA

Kontena laanguka barabarani Taa za TAZARA

Kuna mengine wanafunga na kamba ushawahi ona.???...sio wote wanafata sheria...wako ambao hawaweki lock ukicheki kwenye vile visehem vyake

Hao watakua wazembe, ila kwa mujibu wa mleta mada limeanguka na bed ikimaanisha halikuchomaka. Kama wengine hawafungi, nashauri wahukumiwe kikorea kaskazini.
kuna ambayo hayafungwi mkuu, lock za chini hata Mimi nazipata na kila nikipishana na semi lazima niliangalie vizuri mengine hayana kabisa
 
suala hili ni hatari mno kwa usalama watumiaji wengine wa barabara
 
Back
Top Bottom