Kontena laanguka barabarani Taa za TAZARA

Afadhali.

Taarifa za kushtusha, ila zina habari njema.

Hakuna madhara
 
KONTENA NYINGI ZINAZOBEBWA N'A MA LORRY HUWA HAZIFUNGWI LOCKS...
leo ndio nimeamini hayo madai, kwa sababu kichwa kimebaki wima lakini container limemwagwa. Which means lilikuwa limekalishwa tu juu ya flatbed kama mkate juu ya sinia. Nimezoea kuona nchi za wenzetu container likianguka na kichwa nacho na flatbed lake yote yanaanguka.
 
halafu kuna watu wamepewa EFD machines wanasimama barabarani kupiga faini 30,000 @ kosa, bajaj na bodaboda huku malori wamebeba makontena bila lock yakipita mbele yao mchana kweupe.
 
Dah haya ma kontena yananikumbusha machungu ya majinja bus..acha tu
 
halafu kuna watu wamepewa EFD machines wanasimama barabarani kupiga faini 30,000 @ kosa, bajaj na bodaboda huku malori wamebeba makontena bila lock yakipita mbele yao mchana kweupe.
Upo Sahihi kaka kuna KAMPUNI INAITWA MADINA TRANSPORT!! Hii ina MAGARI CHAKAVU kuliko maelezo na yanasomba makontena Bandari kavu hasa za TRH kuingiza Mitaani tena Mchana Kweupe na Hayasumbuliwi
 
leo ndio nimeamini hayo madai, kwa sababu kichwa kimebaki wima lakini container limemwagwa. Which means lilikuwa limekalishwa tu juu ya flatbed kama mkate juu ya sinia. Nimezoea kuona nchi za wenzetu container likianguka na kichwa nacho na flatbed lake yote yanaanguka.

Ukiliona lipo kwenye flatbed, usifikiri halijafungwa. hiwa kuna locks zinakua zimeshika kwa chini. ila kama sio mzoefu huwezi ziona. huwa zopo kila kona ya contener.
 
Magari mengi hayana lock na mengine wanatumia kamba kinachotakiwa ukaguzi
 
Mungu mkubwa hapakuwepo gari pembeni ama bodaboda na in vile muda wenyewe SAA 6 .15 hivi usiku.yaonyesha hilo semi wakati anakizunguka hicho 'keepleft'alikua speed kubwa ikasababisha Container lote 40ft na bodiy kuanguka barabarani na kuiacha cabin ikiwa stable,yaonyesha pia hakukua na madhara kwa Dereva na utingo,tutegemee foreni kubwa asubuhi kesho has a kwa waendao mbagala

Keepleft .... Ulitaka kumaanisha nini
Bodiy .... Ni kitu gani
 
Magari mengi hayana lock na mengine wanatumia kamba kinachotakiwa ukaguzi

Labda sheria ya kufunga lock haipo na kama ipo mamlaka inayohusika ipo usingizini, ingefaa adhabu ziwe kali kwa makosa kama haya
 
Katika hiyo round about yameanguka mengi sana nakumbuka liliwahi anguka petrol tank hapo ila halikuleta madhara kwa watu
 
halafu kuna watu wamepewa EFD machines wanasimama barabarani kupiga faini 30,000 @ kosa, bajaj na bodaboda huku malori wamebeba makontena bila lock yakipita mbele yao mchana kweupe.
Nguo nyeupe kazi yao mchana tu usiku wanaenda kulala
 
Ukiliona lipo kwenye flatbed, usifikiri halijafungwa. hiwa kuna locks zinakua zimeshika kwa chini. ila kama sio mzoefu huwezi ziona. huwa zopo kila kona ya contener.
Kuna mengine wanafunga na kamba ushawahi ona.???...sio wote wanafata sheria...wako ambao hawaweki lock ukicheki kwenye vile visehem vyake
 
Ukiliona lipo kwenye flatbed, usifikiri halijafungwa. hiwa kuna locks zinakua zimeshika kwa chini. ila kama sio mzoefu huwezi ziona. huwa zopo kila kona ya contener.
kuna ambayo hayafungwi mkuu, lock za chini hata Mimi nazipata na kila nikipishana na semi lazima niliangalie vizuri mengine hayana kabisa
 
Back
Top Bottom