Kontena la 20ft linahitajika haraka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kontena la 20ft linahitajika haraka.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by M-pesa, Dec 23, 2011.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa mwenye kontena la 20ft aniuzie mimi. Nitampatia TZS 400,000 (laki nne). Liwe na hali nzuri.
  Kontena liwe dar kwani nahitaji kwa ajili ya kuhifadhia vifaa vyangu.
  Asante.
   
 2. B

  Bonge JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 864
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 80
  Mkuu laki nne hupati 20ft container, sii chini ya 1.8 mil Tsh
   
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama unalo naomba ni pm tuongee
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  laki 4 ni bei ya 1998.

  kwa sasa ni dollar 1700
  jihadhari na contena la mkononi,kama halina documents itakula kwako kwani yawezekana likawa liliibiwa na mzigo wa vitenge to congo ,utasaidia upelelezi kwa gharama kubwa.
   
 5. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  si mchezo.
   
Loading...