Kimenuka maeneo ya mzinga Kongowe jijini Dar es Salaam vijana wahuni almaruuf kama panya rod wanafanya yao wameteka gari ilokua na msafara wa harusi na kuwajeruhi baadhi ya watu waliomo...
unazungumzia panya rodhawa huenda wakawa ni kikundi kipya hawa ππππππππππππππ maana nilisikia pia kuna panya road
Dar ni mkoa mmoja wenye watu wabinafsi sana.. Unaweza kumtwanga mtu hadharani na asije mtu wa kumtetea.. Watakuja baadae kabisa baada ya kurekodi video.