Kongosho asali ya ODM....

Dah! Mi naomba niwe chupa ya konyagi ya kuwekea hiyo asali.
 
Ile meeting ya wajukuu wa Babu Asprin,imekuwa scheduled lini?
Tutakuja kupiga picha..
 
Nooooo!! kongosho huwezi kuolewa hali ushanipromice!!
Noooooooh!!
 
Kumbe kasredi kaliendelea namna hii...

Anyway...... leo ndio Furahi Dei.....

Leo ndio leo.

Baada ya kusema hayo natangaza rasmi kuwa hii sredi sasa ako:closed_2:
 
Kumbe kasredi kaliendelea namna hii...

Anyway...... leo ndio Furahi Dei.....

Leo ndio leo.

Baada ya kusema hayo natangaza rasmi kuwa hii sredi sasa ako:closed_2:

uifunge wewe ni mods, babau odm acha hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…