Kongosho:Am so down for you

Duhhh!! Eee Mungu baba naomba umsamehe huyu binti kwa maana hajui asemalo...!!
 
1.I would never wanna meet him
2.He's not even worth my slap
3.Even if i slapped him he would never change
and many other more.

Any references? Maana sijaona sehemu niliyosema I would never do anything. . . Someone or something is not worth anything. . .Na hiyo ya mwisho ndio sijui kabisa uliyoikota. Angalau hayo mengine ni jaribio la kubadili niliyosema, au sijui niseme unaniwekea maneno kwenye post.

Wakati mwingine ni vizuri ukabaki kuwa mwangaliaji badala ya kukurupuka.
 
lizzy na jmushi..puta..tia dole..vuka mstari..ngumi zianze..lol..
 
Hello Lizzy, Kabakabana and jmushi1
Hamlali, leo nitawalaza mwenyewe.
 
Hello Lizzy, Kabakabana and jmushi1
Hamlali, leo nitawalaza mwenyewe.
frankly speakin huwa sielewag, ni kwamba jf members wako nchi tofaut tofaut afu tunapishana masaa au?? inakuwaje saa nane usiku au saa kumi uko watu hawajalala duh!!!! labda nisaidiwe huwa sielewagii??
 
yes kwenye red..time za jf ni local(au central african time)members wa marekani,china,australia etc wako tofauti sana na bongo kimasaa lakini haiondoi ukweli kuwa kuna watu humu jf hawalali(wapo hapahapa bongo)especially wwale wenye hulka ya mabishano...you konw what i mean lady.
 
Usijaribu kuelewa kila kitu
Kama hakikudhuru, kichukulie kama kilivyo.
frankly speakin huwa sielewag, ni kwamba jf members wako nchi tofaut tofaut afu tunapishana masaa au?? inakuwaje saa nane usiku au saa kumi uko watu hawajalala duh!!!! labda nisaidiwe huwa sielewagii??
 
Kabakabana yuko Tokyo

frankly speakin huwa sielewag, ni kwamba jf members wako nchi tofaut tofaut afu tunapishana masaa au?? inakuwaje saa nane usiku au saa kumi uko watu hawajalala duh!!!! labda nisaidiwe huwa sielewagii??
 
hahaha asante mkuu nimekupata vizuri ss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…