Kongosho:Am so down for you

My hands don't touch everything that moves. . .

Alafu naona kama kauchochezi flani hivi. Ngoja niende zangu!!

hahahaha wala sio uchochezi,ni analysis usiogope
 
Hiyo siyo analysis,it's not even an observation. Bali ni uchochezi unaotaka majibu kama"ehhh, ningempiga kabisa mjinga huyu" .

wala ndo tatizo la kuwa na majibu yako mwenyewe kichwani,never meant any harm i never do
 
wala ndo tatizo la kuwa na majibu yako mwenyewe kichwani,never meant any harm i never do

Kumbe nilitakiwa niwe na majibu ya nani kichwani?

Ukiweza kunipa maana ya analysis inayoendana na ulichoandika ntaacha kuwa na majibu yangu niwe na yako.
 
Kumbe nilitakiwa niwe na majibu ya nani kichwani?

Ukiweza kunipa maana ya analysis inayoendana na ulichoandika ntaacha kuwa na majibu yangu niwe na yako.

1.I would never wanna meet him
2.He's not even worth my slap
3.Even if i slapped him he would never change
and many other more.
 
Hahahaha. . . yupo!!
Baada ya hapo. . . . ?
Baada ya hapo ukiwa unameremeta mwenyewe na mafuta yako ya nazi usimame wima,kisha uanze kuzichora tarakimu ukianza na moja mpaka kumi sio kwa hizi pen zenu za huko university aah aah bali wazichora kwa iko kiuno chako ati...yani u start 1 unaichora as it is kwa kiuno,unaendelea 2,3,4,5,6,7,8,9..10 unazifuatisha kama zilivyo kwa kiuno,sifuri inasumbuaga kidogo but kazana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…