Ukipeleka kwa fundi usicheze mbali kua nae benet mwanzomwisho mafundi janja janja nyingi asije akanyofoa spare OG akakuwekea kanyangaUshauri wa bure kama imekubali kuwaka basi fanya jitihada upeleke kwa fundi akaisafishe hiyo Tv au vinginevyo kifo chake kitakua kibaya sana.Maji huweka kutu kwenye electronics device kikubwa haikupata madhara ila hayo maji bila kwenda kusafishwa kwa dawa maalumu basi tegemea balaa kubwa ndani miezi michache ijayo.Ni ushauri tu kama vip unaweza kupotezea
Hahaha hapo sasa. Mimi kwakweli kununua vitu vya bei rahisi siwezi. Hata kama sina hela nitajichanga mdogomdogo mpaka nipate hata kama ni miezi 6.Pole na hongera pia kaka.
Endelea kuombea watanzania wenzako nao wafunguke akili, unakuta mtu anaenda nunua tecno ya laki 3 mpaka laki 4 kisha anaacha Samsung A series ya bei hiyo hiyo.
Hapo kwa kusafishwa nakubaliana na wewe.Ushauri wa bure kama imekubali kuwaka basi fanya jitihada upeleke kwa fundi akaisafishe hiyo Tv au vinginevyo kifo chake kitakua kibaya sana.Maji huweka kutu kwenye electronics device kikubwa haikupata madhara ila hayo maji bila kwenda kusafishwa kwa dawa maalumu basi tegemea balaa kubwa ndani miezi michache ijayo.Ni ushauri tu kama vip unaweza kupotezea
Acha wivu mpwa,mpongeze mwenzio kwa kuwa na tv OG..Nini maana ya kongole?
PongeziNini maana ya kongole?
Nilitaka tu kujua maana yake mkuu, Samsung baba yao mi mwenyewe nina Samsung.Acha wivu mpwa,mpongeze mwenzio kwa kuwa na tv OG..
AsantePongezi
Hongera kwa wanawake
Kongole kwa wanaume
🤣🙌Baada ya hapo nikaiweka juani na nikaiwasha saa 3 usiku. TV imerudi nzima utafikiri haikupata janga lolote.