Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Wewe ndo uanze nadose wanaume wenzako wanapeleka vyombo nje ya sayari yetu wewe kidume unajifanya na uchungu na dini kuliko walioileta
Unaona akili yako ilivyo oza? kwahiyo unataka wanaume wote wapeleke vyombo nje sayari yetu? ndio uliambiwa kua hicho ndio kipimo cha akili?

Hata mimi ninayetaka kukutibu wewe punguani pia natimiza majukumu yangu kwa upande wangu.
 
Nimeshangaa sana. Huku kwetu hata kiongozi angekuwa muislam huo muda hatuna. Wenzetu wako mbali sana kwenye kuheshimu imani za wengine
Rais Kenyatta ameonyesha kuheshimu dini ya waislamu and i salute him for that respect ,na marehemu JPM pia kama munakumbuka amewahi kuchangia hela kwa ajili ya ujenzi ya msikiti ,kwaiyo bravo!! kwao.
 
Soma uelewe ndilicho andika. Maana Mwenye hekima ufikili jinsi ya kujibu. Unajiaibisha kwa kusinzia wakati mavuno
Huyo kiumbe zimesha fyatuka,wa hivyo ukimjibu kwa busara hawezi kukuelewa,huyo dawa yake ni kumpokea kama anavyokuja.
 
Rais Kenyatta ameonyesha kuheshimu dini ya waislamu and i salute him for that respect ,na marehemu JPM pia kama munakumbuka amewahi kuchangia hela kwa ajili ya ujenzi ya msikiti ,kwaiyo bravo!! kwao.
Mkuu,nikukumbushe pia,
JPM alimuomba mfalme wa Morocco kujenga Msikiti mkubwa Dar,
Kila mtu anapoheshimu imani ya mwenzake ndio Busara.
 
Hahaha ukiona hivyo bac copulation zako zilikuwa useless kwake yaan mpaka ana imba na kwayaaa
Jiulize iyo akili yake iliwezaje kukumbuka wimbo ? Iyo ima prove yaan yy alikuwa hayupo na ww.
😂 😂 😂 😂 🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌
 
Back
Top Bottom