Ambokile Amanzi JF-Expert Member Dec 12, 2018 965 1,330 May 5, 2021 Thread starter #61 Waberoya said: kafurahi tu kuonyesha chuki zake kwa JPM huyu mpaka anakufa atakuwa na JPM moyoni Click to expand... Ana uchungu wa kukosa udiwani mwaka jana! Kilichompata kwenye uchaguzi hana hamu! Kila akilala anaota mzimu wa magufuli.
Waberoya said: kafurahi tu kuonyesha chuki zake kwa JPM huyu mpaka anakufa atakuwa na JPM moyoni Click to expand... Ana uchungu wa kukosa udiwani mwaka jana! Kilichompata kwenye uchaguzi hana hamu! Kila akilala anaota mzimu wa magufuli.
cocastic JF-Expert Member Nov 30, 2019 86,615 138,946 May 5, 2021 #62 Waberoya said: Ndivyo walivyo!!!! Click to expand... Yaan we acha tyuh
cocastic JF-Expert Member Nov 30, 2019 86,615 138,946 May 5, 2021 #63 imhotep said: Mimi sasa hivi hata Vidonge vyangu vya ARV situmii sana huwa nasikiliza hotuba za Mama tu hadi nanenepa na Ukimwi wangu Click to expand...
imhotep said: Mimi sasa hivi hata Vidonge vyangu vya ARV situmii sana huwa nasikiliza hotuba za Mama tu hadi nanenepa na Ukimwi wangu Click to expand...
Ambokile Amanzi JF-Expert Member Dec 12, 2018 965 1,330 May 5, 2021 Thread starter #64 JokaKuu said: ..Mfano mzuri wa kuiga ktk masuala ya lugha ni Benjamin Mkapa. ..Mzee yule alikuwa anazitendea haki lugha za Kiswahili na Kiingereza. ..Anayepiga vita Kiingereza anawapotosha Watz. Huenda yeye ameshafikia malengo yake yote ya kikazi na kimaisha. Click to expand... Sidhani kama kuna mtu anayekipiga vita Kiingereza. Kila lugha ina umuhimu wake lakini pia ina pahala pake. Kwenye hadhira ya waswahili zungumza Kiswahili. Na kwenye hadhira inayohitaji kizungu basi tema mayai. Huwezi tu kufika mahali unazungumza lugha zisizoeleweka kwa lengo tu la kujibebea ujiko na mikogo.
JokaKuu said: ..Mfano mzuri wa kuiga ktk masuala ya lugha ni Benjamin Mkapa. ..Mzee yule alikuwa anazitendea haki lugha za Kiswahili na Kiingereza. ..Anayepiga vita Kiingereza anawapotosha Watz. Huenda yeye ameshafikia malengo yake yote ya kikazi na kimaisha. Click to expand... Sidhani kama kuna mtu anayekipiga vita Kiingereza. Kila lugha ina umuhimu wake lakini pia ina pahala pake. Kwenye hadhira ya waswahili zungumza Kiswahili. Na kwenye hadhira inayohitaji kizungu basi tema mayai. Huwezi tu kufika mahali unazungumza lugha zisizoeleweka kwa lengo tu la kujibebea ujiko na mikogo.
B bato JF-Expert Member Dec 20, 2012 3,834 3,270 May 5, 2021 #65 imhotep said: Mbona unanitukana Elitwege WHY? kwanini tusijadili kiustaarabu Kama ninakukera si unani Ignore tu. [/ Etwege said: Na utakufa na mimba yake mbwa we Click to expand... Etwege kama umechanganyikiwa..subirini kidole cha mama...sijui atawawekea sehemu gani Click to expand...
imhotep said: Mbona unanitukana Elitwege WHY? kwanini tusijadili kiustaarabu Kama ninakukera si unani Ignore tu. [/ Etwege said: Na utakufa na mimba yake mbwa we Click to expand... Etwege kama umechanganyikiwa..subirini kidole cha mama...sijui atawawekea sehemu gani Click to expand...
Tindo JF-Expert Member Sep 28, 2011 59,180 103,698 May 5, 2021 #67 Ambokile Amanzi said: Kwahiyo? Click to expand... Nikuulize ww uliyekuja na kanga moja huku guest.
Ambokile Amanzi JF-Expert Member Dec 12, 2018 965 1,330 May 5, 2021 Thread starter #68 tindo said: Nikuulize ww uliyekuja na kanga moja huku guest. Click to expand... Guest gani?
J JokaKuu Platinum Member Jul 31, 2006 30,503 55,134 May 5, 2021 #69 Waberoya said: Mkapa kiingereza alikuwa bora zaidi kuliko kiswahili Click to expand... ..katika Uraisi wa Mzee Mkapa nilijifunza msamiati mpya wa Ujasiriamali. ..nilichompenda ni kwamba alikuwa kiongozi ambaye anajiandaa kabla ya kupanda jukwaani na kuzungumza. ..unaweza usivutiwe na sera zake, au staili yake ya uongozi, lakini Mkapa always took his job seriously.
Waberoya said: Mkapa kiingereza alikuwa bora zaidi kuliko kiswahili Click to expand... ..katika Uraisi wa Mzee Mkapa nilijifunza msamiati mpya wa Ujasiriamali. ..nilichompenda ni kwamba alikuwa kiongozi ambaye anajiandaa kabla ya kupanda jukwaani na kuzungumza. ..unaweza usivutiwe na sera zake, au staili yake ya uongozi, lakini Mkapa always took his job seriously.
Tindo JF-Expert Member Sep 28, 2011 59,180 103,698 May 5, 2021 #70 Ambokile Amanzi said: Guest gani? Click to expand... Shungashunga.
Ambokile Amanzi JF-Expert Member Dec 12, 2018 965 1,330 May 5, 2021 Thread starter #71 tindo said: Shungashunga. Click to expand... Upo na mmeo huko?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 81,212 94,080 May 6, 2021 #72 Waberoya said: ungekuwa mzungu sasa why mama yako kakufundisha kiswahili?🤣🤣🤣 Click to expand... Najua lugha nyingi siyo kiswahili pekee
Waberoya said: ungekuwa mzungu sasa why mama yako kakufundisha kiswahili?🤣🤣🤣 Click to expand... Najua lugha nyingi siyo kiswahili pekee