Kongole Khalifa wa The Chanzo

Naunga mkono hoja.
Huyu anafuata nyayo za akina Jenerali Ulimwengu kwa mbali.Ingawa bado ni mapema mno kumpatia kongole la mwisho.
 
Taarifa na Maudhui ya Hivi Karibuni
Hivi karibuni, The Chanzo imekuwa ikiripoti na kuchambua matukio muhimu nchini, ikiwemo:
Uchambuzi wa Kisiasa: Makala kuhusu mustakabali wa vyama vya siasa, kama vile makala ya hivi karibuni inayohusu hatma ya CCM kuelekea 2030.
Ripoti za Serikali: Kufuatilia na kuchambua ripoti rasmi kama zile za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), TAKUKURU, na PPRA.
Habari za Jamii: Ripoti kuhusu matukio ya uhalifu vijijini, ajali za moto, na athari za mabadiliko ya hali ya hewa.
Uchambuzi wa Sheria: Maelezo ya kina kuhusu kesi mbalimbali za kisheria zinazoihusu serikali.
 
The Chanzo ni jukwaa la habari nchini Tanzania linalojikita katika uchambuzi wa kina, ripoti za uchunguzi, na maoni kwa mtazamo wa kijamii. Jukwaa hili hutumia mbinu mbalimbali za kidijiti kama video, makala, na mitandao ya kijamii kufikisha habari zake.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Huyu ndio ajibu hoja za Askofu Bagonza na Padre Kitima?

Ndugu zangu hawa jamaa wanafedhehesha sana dini yenu.
Nope 👎 !
Wakienda tofauti Wanaji fedhehesha wenyewe !
Hapo Dini haihusiki !
Dini ya Kiislamu haifuati kiongozi kasema nini bali inafuata kitabu cha Mungu kinasema nini na sunna za Mtume zinasemaje !
Kiongozi akiropokwa hayo yanabaki kuwa ni ya kwake binafsi 😳 !
Ndio maana kwa Waislamu muumini haendi kwa kiongozi wake kwenda kuungama na kufutiwa dhambi !
Wa kuombwa kuzifuta dhambi ni Mungu pekee ! Full stop 🛑 👍
 
Watangazaji wawili wa Radio Kyela FM, Tumsifu Nsangalufu Katina na Emmy Eliud Haisule, wamekamatwa na jeshi la Polisi wilayani Kyela, na usiku huu wanasafirishwa kuelekea Mbeya mjini. Kukamatwa kwao kunahusishwa na kusoma taarifa iliyoandikwa na gazeti la Mwanahalisi yenye kichwa cha habari "AFANDE WA MWIGULU ATOWEKA"
 
Vyombo vya habari na waandishi wa habari wengi Tanzania, wanafanya kazi zao kwa weledi mkubwa mno na kwakweli wote wanafaa kupongezwa kwa ukubwa na umuhimu wa kazi zao katika ujenzi wa Taifa.
Hv ambavyo vimeshindwa kuhoji ushindi wa 98% ya nshindi wa urais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…