Kongamano vyuo vya morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kongamano vyuo vya morogoro

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Maturity, Apr 25, 2012.

 1. Maturity

  Maturity Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MADA: VIJANA NA MUSTAKABALI WA TAIFA (TANZANIA).

  TAREHE: 26/04/2012

  MUDA: SAA TATU ASUB - SAA TISA ALASIRI.

  MAHALI: UKUMBI WA FOREST-HILL SECONDARY, MORORGORO MJINI.

  WASEMAJI WAKUU:
  1) Mh. SUZANE KIWANGA (Mb)
  2) Mh. Mch. PETER MSIGWA (Mb)
  3) Mh. FREDY MPENDAZOE
  4) Mh. BENSON KIGAILA
  5) Mh. AMAN MWAIPAJA
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mastakabali ni nini kwa kiingereza?
   
 3. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Naona mapambano yanaendelea!!
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  mustakabali = future/prospect
   
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Ahsant mkuu kwa taarifa! Tutahudhuria hiyo kesho but isije hilo kongamano likawa na viingilio kama lile kongamano la magamaba.
   
 6. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  mbona tarehe hiyohiyo kuna kongamano OASIS HOTEL,na watoa maada ni haohao sielewi mbona kuna mikanganyiko tuwekwne sawa,tusije kwenda sehemu isiyo husika,(source:karatasi za matangazo vyuo vikuu morogoro)
   
Loading...