Florian musumi
Member
- Sep 14, 2011
- 8
- 45
Hakika Mkoa wa Mwanza umejihakikishia kushinda uchaguzi wa serikali za Mtaa pamoja na uchaguzi Mkuu 2020. Hii ni kutokana Na Hamasa iliyojengeka kwa vijana kwa kukubali Mambo mazuri yanayofanywa na Rais John Magufuli.
Hakika CCM Mwanza USHINDI NI SAA MBILI ASUBUHI.
HONGERA VIONGOZI WA UVCCM KITAIFA, KIMKOA NA VIONGOZI WENGINE WOTE.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Hakika CCM Mwanza USHINDI NI SAA MBILI ASUBUHI.
HONGERA VIONGOZI WA UVCCM KITAIFA, KIMKOA NA VIONGOZI WENGINE WOTE.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.