Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,035
Kwa taarifa kamili ya Kongamano, tazama link hii:
https://www.jamiiforums.com/habari-...luma-waishio-ndani-na-nje-ya-nchi-2009-a.html
Baadhi ya Wanataaluma Kutoka Ndani na Nje ya Nchi Katika Picha ya Pamoja; Golden Tulip Hotel: 18-12-2009
Wanataaluma Wakifuatilia Waongeaji
Changamoto: Mzalendo Mbuya ambaye amemaliza darasa la saba tu na kisha kuwa msaidizi wa fundi wa umeme. Baadaye alianza shughuli za ujasiliamali wa halali. Ufundi - Pikipiki-Teksi. Sasa hivi anayo kampuni ya Usafirishaji akiwa ana gari ndogo 4 na za mizigo 3, nyumba nzuri na anasomesha watoto elimu ya juu. Je Mafanikio ya mtu ni lazima awe amasoma sana?
Mzalendo Membe akitoa majumuisho ya maada yake ya Dual/Smart Citizenship. Kushoto Mz. Mtsimbe
Mz. Maige akitoa Vote of Thanks. Kulia ni Mz. Consolata Maimu - TPN National Treasurer na Kulia Kabisa ni Mz. Janet Mbene - Member of Executive Committee