Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,036
Tanzania Professionals Network (TPN)
Nyumbani Ni Nyumbani 2009
Kongamano la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi
Siku na Muda:
Ijumaa; 18th December 2009;Saa 2.00 Asubuhi -11.00 Jioni
Mahali:
Golden Tulip Hotel; Masaki, DSM
Washiriki:
Wanataaluma na Wasomi Wote Mnaombwa Kufika Bila Kukosa
Ada ya Ushiriki:
TZS 50,000
Mada:
Namna Wanataaluma Wanavyoweza Kuchochea Maendeleo
Kujiandikisha na Maelezo Zaidi:
0715 740 047
Waandaaji:
TPN Costech OUT UDSM - Serikali
--------------------------------------------------
Tafadhali sana angalia post za nyuma kwa ufafanuzi wa ziada hapa:
Na hapa:
Ndugu Simbe usiwe mvivu hizo link ulizoweka hapo chini kisheria sio mali ya TPN hata kama wewe ulitoa ufafanuzi huo , unatakiwa kuandaa ufafanuzi mzuri weka katika tovuti yako na maelezo ya ziada - - -
he
Mtsimbe hili lina tofauti gani na lile la Ubungo plaza?au lile ndo ushaliua tayari? hope ni tarehe hizo hizo au?
Mzalendo RealTZ;
Lile lilikuwa ni Second Announcement. Hili la sasa ni Final.
Kumekuwa na mabadiliko ya Venue. Sasa ni Golden Tulip badala ya Ubungo Plaza. Pia itakuwa ni kwa siku moja badala ya siku tatu.
Hello Mzalendo Shy; kama ukisoma vizuri tangazo kuna kisehemu hiki:
Kujiandikisha na Maelezo Zaidi:
0715 740 047
so there will be money return kwa waliolipa full 150,000?
Je siku moja itatosha kwa kufanya hilo kongamano?
Mzalendo;
Ili kumudu gharama za msingi imebidi tupunguze siku na pia tutafocus kwenye mambo muhimu sana na ya kimsingi tu.
u r right ukizingatia wengi ni watu wa kujiiba makazini, 4days bila mwajiri kuiona return yake ipo kazi hapo!
Nadhani nitaweza kutuma ujumbe kwa kongamano hili.