Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

Ni Hadi wakiwa nje ya mfumo ndo ujua umuhimu wa katiba. Wakiwa kwenye mvimbio wa kodi zetu huwa vipofu
 
Ni nani atakayewapa ruhusa ya kufanya hilo kongamano? Labda uwe mpango mahsusi wa kuvalisha watu miwani ya mbao.
 
Lipumba anaanza tena mambo yake 🤣🤣🤣!!! Hizi siasa za bongo unaweza tamani gharika ipite kianze kizazi kipya cha wanasiasa.
Wewe unadhani atashibisha tumbo lake vipi, kama ruzuku aliyokuwa akifaidi sasa haipo?

Huu ni mradi mpya anaoubuni akitegemea ushirikiano na hao watakaokuwa wakimpa shibe ili kuvuruga juhudi za wanaodhamiria kuleta ukombozi wa kweli kwa kuwaondoa hawa wanaohodhi kila aina ya maisha ya mTanzania.
 
Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020

Mtu mwenye akili timamu huwezi tena kumuamini Lipumba, ni takataka tu inayotafuta njia ya kuendelea kupiga pesa, Cuf haina tena ruzuku, huu ni ubunivu wa kutafuta pesa kwenye ile account yao ya NMB.

Ni wajinga wenzake tu ndio watakaokubali kutumika na Lipumba kwa maslahi yake binafsi.

Yani sasa hivi ndio nimeelewa kumbe ni bora ile rasimu ya Warioba licha ya kina Samwel Sitta na wajinga wenzake kuinajisi lakini ingepitishwa hivyohivyo leo hii tungekuwa tayari tuna tume huru ya uchaguzi zingesalia hoja chache tungeshinikiza zifanyiwe kazi kama serikali tatu.

Wakenya wenzetu wamepitisha kwanza katiba yao mpya na sasa wanadai BBM.
 
BBM ndyo nn?
 
Baada ya mange na Sera yake kipindi kile baada ya chaguzi saaizi ni lipumba?

Mambo ya siasa za mitandio ni balaa.
 
Kama shughuli yenyewe inasimamiwa na Prof.. tunapata wasiwasi - mzee wa U-turn ni ngumu kumwamini.
 
Back
Top Bottom