Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

Shauri yenu, kuna mtu hapa atakubaliana na vuguvugu halafu katiba ikipita atasema sasa anagombea kwa katiba mpya, anaanza tena moja, amalize mi5 ya kwanza halafu ije ile mingine mi5, tutakoma ubishi. Naomba msiniharibie hesabu, mimi sasa nimeisha anza ku count down, mpaka sasa amebakiza miaka 4 na miezi 11. Niwashauri tu kwamba utawala huu hauwezi kutupa katiba ya wananchi. Vuteni subira aje mtu mwenye utu ndio tutengeneze katiba nyingine, hapa mtachemsha tu!
 
Watawatimua Kama mbwa......wabongo hizo level bado hatujafika......walishatuharibu kiuzaleneo na upambanaji wa kupigania haki zetu
 
Lipumba anaanza tena mambo yake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!!! Hizi siasa za bongo unaweza tamani gharika ipite kianze kizazi kipya cha wanasiasa.
Siasa Wanasiasa bongo na mavyama yao
Watakupasua tu ubongo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ