Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020
Siku hiyo mtakamatwa wote, dikteta hataki katiba mpya maana itamg'oaVuguvugu la kudai katiba mpya!
Teh tehAaah! Nchi hii bwana, maneno mengi sana action sufuri..
katiba tuliyo nayo inatoshaUzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020
Ukawa inarudi kivingine.UKAWA
Lipumba anaanza tena mambo yake 🤣🤣🤣!!! Hizi siasa za bongo unaweza tamani gharika ipite kianze kizazi kipya cha wanasiasa.Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020
Hamna kongamano lolote litalotokea 😁😄😄Siku hiyo kwenye hilo kongamano polisi watakuwa wengi kuliko wanakongamano.
Based on the true story!!Ukawa inarudi kivingine.
😄😄Siku hiyo kwenye hilo kongamano polisi watakuwa wengi kuliko wanakongamano.
Sidhani. CUF ndo waanzilishi.😄😄Siku hiyo kwenye hilo kongamano polisi watakuwa wengi kuliko wanakongamano.
Siasa Wanasiasa bongo na mavyama yaoLipumba anaanza tena mambo yake 🤣🤣🤣!!! Hizi siasa za bongo unaweza tamani gharika ipite kianze kizazi kipya cha wanasiasa.