TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Anayeongea sasa ni Vuai Ally Vuai, analalamika tu hamna jipya. Anazungumzia mazuri yaliyofanywa na ccm.
Anasema upinzani wa Zanzibar ni wa ajabu sana, anasema mtu kapewa apartiment Michenzani bure lakini bado anaipinga ccm.
Sasa!!? Kwani Maghorofa ya michenzani yamejengwa kwa ajili ya wanaoisapoti ccm tu!!?

Last edited: