Kongamano kubwa la wachawi kufanyika mwaka huu Tanzania

we mshana utakuwa wewe ni mchawi Mshana Jr unabid utuambie kongamano litakuwa tareh ngapi na wapi ?

daaa!!! ila Mshana Jr nimchawi kudadeki zake maana mtu awezekan akayajuwa mambo ya ulozi kwa kias kikubwa kama hiki.
 
Ni wakati sasa haya mambo kuyaweka hadharani.. Kuyaweka wazi.... Kuna siku kadha sikuwepo hewani... Kwa wale baadhi niliowasiliana nao kwa njia za kawaida za miito ya simu niliwaambia niko bush training... Wengi wao wakaniuliza training ya nini... SIKUWAJIBU.....

Mimi si mchawi wala si mshirikina bali ni mdau shabiki kwenye hizo fani... Nimeombwa na wana kitengo wale wa kilingeni kutoa ufafanuzi kwa yale yanayotokea yakionekana kama ni matukio halisi
Kongamano lijalo ni kubwa na litakuwa maalum kwa wale wote wanaopenda kitu kinachoitwa kwa kizungu fantasy witchcraft... Uchawi usio na madhara wenye nia ya kujifurahisha tu lakini pia usiotumika vibaya kwa nia ya kujipatia kipato....

Kuna matukio yameanza kupata airtime ya vyombo vya habari.. Matukio ya ajabu ya kishirikina yenye kushangaza jamii... Baadhi yake ni haya
. Mwizi kuiba na kile alichoiba kung'ang'ania mwilini
. Mwizi kuiba na kuzingirwa na wadudu kama nyuki
. Watu kufanya ngono na kugandana... Nknk
Haya mambo yana historia na huibuka na kupotea kwa staili tofauti tofauti... Na yakianza nchi moja baada ya muda huhamia nchi nyingine.....
Kwa mwaka mzima wa jana kwa wale waangaliaji wa Tv KTN ya Kenya matukio hayo yalikuwa maarufu sana... Lakini baada ya muda yakagundulika na kuthibitika kwamba ni utapeli na mazingaombwe kwa nia ya kujipatia kipato! Sasa hivi Kenya huwaambii tena kuhusu hizo habari zimechuja na kudoda
Mambo haya sasa yanaibuka kwa kasi Tanzania.... Si kwamba hayakuwepo hapo zamani.. La hasha yalikuwepo japo zamani yalikuwa ni halisi....
Angalia vizazi vya haya matukio utajikuta hudanganyiki tena na siku ya kongamano ikifika utafaidika zaidi na kufumbuliwa na ithibati zisizoacha shaka!
. Tulianza na ramli (nyingi zikiwa chonganishi)
. Tukaja na tv asilia na kumuona mbaya wako live kwenye beseni la maji au ukutani
. Tukaja na kizazi cha utajiri kupitia viungo vya binadamu nk

Hapa mwendo ukabadilika kidogo... Ikaingia upgraded version fulimasoni.. Freemson na Pete za bahati, utajiri wa kufa na kuoza, jogoo na punje za mchele nk
Hapo hapo sambamba na hilo wakaanza kujitokeza manabii na mitume.... Hawa ni wale wale lakini kwa jina la Mungu... Na makanisa yao yakageuka nyumba za kutoa wachawi, kukinga wezi, maji na vitambaa vya baraka nk nk... Hawa wamepiga mipunga mirefu sana... Wametumia matatizo ya watu kujinufaisha
ETI
Wanaombea upate utajiri (wahanga wakubwa ni wapenda shortcut)
Wanaombea upate kazi (wahanga wakubwa ni wahitimu)
Wanaombea upate mchumba (wahanga wakubwa ni wanawake
Wanaombea wafu wafufuke.. (Wahanga wakubwa ni wavivu wa kusoma neno)
Miujiza ya kitapeli ikawakomba wengi.... Fasheni hii imechuja na watu wameshaanza kushtuka kuwa wanaibiwa mchana kweupee

Sasa tunarudi square one..... Uchawi wa kukamata wezi na wagoni.... Haya ni matangazo kichwa cha habari halafu hufuatiwa na maudhui
Kurudisha mali iliyopotea
Kumkinga mume/mke asitoke nje ya ndoa
Pete za bahati
Ndoa
Mali nk nk
Hakuna jipya chini ya jua... Mambo ni yale yale.. Changamoto ni zile zile.. Matatizo ni yale yale....
Waganga wa kienyeji
Wasoma nyota
Manabii
Mitume
Wapiga ramli nknk wote hawa ni waganga njaa katika kapu moja ila kila mtu akiwa na rangi yake
Kongamano lijalo litaweka wazi kila kitu
Mkuu nimekupata
Lakini hujaweka bayana kongamano litakuwa wapi&je mim pia naweza kushiriki?
 
IMG_20180511_102019_272.jpg
 
Nahitaji kuhudhuria.
Na nitachangia mada
 
Back
Top Bottom