Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Katika Ulimwengu wa giza radi ni Vita ya kuzimu, katika Bible walitumia mwana kondoo wa Mungu
Shetani naye hupita humohumo kwakuwa shetani ni mlaaniwa wa Mungu kwa Kumtumia mnyama yuleyule mwenye utii amekitumia Kichwa chake kama alama yake muhimu
Kondoo anayetajwa kwenye Bible hana mapembe huyu ni mtii, kondoo atumiwaye na shetani ana mapembe
Sasa radi ikipiga inasababisha vita gani kuzimu ni kati ya mashetani yenyewe au?