Kondoo mwenye korani azaliwa

DU ningejua mapema leo si ningeenda kujionea huu muujiza mwenyewe but anyway i dont think its a big deal unless our fellows give us the meaning of this miracle and what it means to them,
 
Huyu Kondoo atakuwa mungu bana!....napanda dau mama, niuzie huyo kondoo; watu watakuja kwangu kumwabudu na mm nitatoza sadaka! tehe teh
 
Ingekuwa wakatoliki hapo zingekuwa siasa 2,asingeenda mtu. Sababu madhehebu yaliyoenda shule hawaamini kitu fasta..

Mbona nilishaona kwenye documentaries nyinyi wakatoliki munaabudu sanamu linalotoka machozi huko Spain, eti sanamu la Lady Fatima sijui!
 
hivi hakuna anayeielewa hiyo surat YASIN atuwekee yaliyomo humo......ili tuache malumbano yasiyo na maana?........
 
Nijuavyo Mimi Shetani Hufungwa Minyororo Mwenzi Mtukufu Kulikoni Tena Humu Mwaongea Mabaya ya Kishetani Shetani Au Ni Sound tu Shetani Huwa Hafungwi!
 
Kuna mbuzi alizaliwa Kenya na alikuwa na maandishi ya kiarabu na yanayobadilika badilika kila siku, Mbuzi yule baada ya wiki nadhani hakuwa na maandishi tena,

Nilichojifunza hapo ni kuwa alikuwa na ujumbe ambao ulitolewa mahsusi kwa wanadamu kwa hiyo wiki moja sasa asikiaye na afahamu....

Si ushirikina ila Mungu akiona maovu yamezidi duniani atatuma mpaka wanyama, ndege, miti, mito na bahari zitume ujumbe kwani wanadamu tunaamini katika miujiza tu....

Sijui kama Mbuzi yu hai ama la
 
Nijuavyo Mimi Shetani Hufungwa Minyororo Mwenzi Mtukufu Kulikoni Tena Humu Mwaongea Mabaya ya Kishetani Shetani Au Ni Sound tu Shetani Huwa Hafungwi!
Hahaha! Shetani atakuwa amekata mnyororo ndo mana waona hivi!..lol
 
Huyo Mbuzi kaandikwa Koran au kaandikwa kiarabu?
Hivi lugha ya kiarabu sasa imegeuka Korani.
 
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">hivi hakuna anayeielewa hiyo surat YASIN atuwekee yaliyomo humo......ili tuache malumbano yasiyo na maana?........</span></font></font>
<br />
<br />
hyo yasin ndugu uksomewa, unakuwa kich**a
 
Back
Top Bottom