Kondomu za dume..mh!

Huwa natembea na rough rider zangu banana flavor kwenye pochi, ukinitolea mikondom bomu nakupa zangu za ukweli, kama hutaki lala mbele.
 
Huwa natembea na rough rider zangu banana flavor kwenye pochi, ukinitolea mikondom bomu nakupa zangu za ukweli, kama hutaki lala mbele.
Sio kweli Rough rider hazipo za flavour ya matunda.Na pia hizo za flavour za matunda ni kwa ajili ya Oral sex ili mwenza ahasi analamba tunda na sio imara katika mechi kali.
 
Kaka nenda hospitali waambie wakupe condom za msd,ni imara kinoma although harufu yake ni strong
 
Tena afadhali ya hizo za familia ndo usiseme bora uvae vile vimfuko vya plastic wanavyouzia maji ya kunywa pale k/koo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom