Kondomu ni kinga kwa asilimia ngapi?

Kondomu ni kinga kwa asilimia ngapi?

Habarini za humu wadau,

Kuna kaswali kananitatiza sana hivi uhakika wa kondomu kuukinga mwili dhidi ya gonjwa la UKIMWI ni kwa asilimia ngapi.

Au niulize hivi labda inapotekea mtu ametumia kinga kujamiiana na mtu mwenye VVU inakua ni tahadhari zipi hajafuata katika matumizi ya kondomu.
Samahani haifupishiki:Ukianzia na historia ya kondom utaelewa zaidi,kifupi kondom zilianza kama moja ya njia za uzazi wa mpango na zilitengenezwa kwa utumbo wa wanyama.Baada ya kugundulika Aids/HIV walifanya majaribio ya kuwahilisha maarifa ya kondom kutoka kuzuia mimba mpaka kujikinga na virusi vya Ukimwi.Ilionekana kufanikiwa kwa kiwango cha kuleta matumaini.Kadri virusi vilivyosambaa zaidi watu wengi waliathirika zaidi na kuhitaji wanyama wengi zaidi ili kutengeneza kondoms.Wataalam waliona tishio la kuendelea kupoteza idadi kubwa zaidi ya wanyama.Wakafanya utafiti kutumia unga wa ngano jaribio liliofanikiwa na kondoms zote zinazotumika sasa zinatengenezwa kwa UNGA WA NGANO na mchanganyiko wa mafuta(lubricants).Kuna vipimo vinaitwa MAIKRONIA-Ukiichukua kondom ukaiweka kwenye hiki kipimo utaona matundu.Ukweli ni kuwa ukubwa wa matundu kwenye kondoms ni maikronia 5 wakati ukubwa wa mbengu za kiume(sperms)ni maikronia 50 so mimba haiwezi kuingia kwani mbegu ni kubwa kuliko ukubwa wa matundu labda kondom ipasuke Lakini Kirusi cha ukimwi chenyewe kina ukubwa wa maikronia 0.1,Kwa mahesabu mepesi ya darasa la tano virusi vinaweza kupenya 50 kwa mara moja kwenye tundu moja.Jaribu kufikiri kama kondoms kweli zinakinga?Ukisoma juu ya kondoms Umeambia 1.Subiri 2.Kuwa muaminifu-kwa mmoja ulienae 3.Na ya mwisho Tumia kondom!Wataalam wanajua unapoweka machaguo kadri unavyokwenda kwenye least choice ndio uhakika unavyopungua zaidi.Kondom does not garantee ukitumia uko safe a big NO.Kama ukiweka maji kwenye kondom na chumvi maji yanatoka!Kama ukiweka maji na pilipili kwenye kondom usalama wa kondom bado ni mdogo Je.....???.So wangapi wanaenda chaguo la mwisho Namba tatu la kutumia kondom na kuacha la kwanza na la pili?Obvious ni wengi."Ukimwi hauwezi kuisha maana ukweli hausemwi"yalikuwa Maneno ya rafiki yangu daktari, tulipokutana Montreal kwa conference ya professionals.
 
muandae vizuri mpaka atoe vimajimaji kwenye K, paka mafuta mb**o na hata K yake fanya tendo bila kutumia nguvu kubwa......jitahidi upizi haraka na uingie bafuni fasta uoshe mb**o yako kwa maji safi na sabuni........

NB: ufundi kamfanyie mkeo au mpenzi wako wa uhakika ambaye mnapimaga naye wote, usitafute sifa kwa malaya.
 
kama huyo mrembo ana maungo mapana yawezekana kibishi balaa kama mnato ukipeleka ukirudisha rambo umeiacha humohumo

Ha haa haaa haaaaaa haaaaaa.
ebwaba naomba uniruhusu nkutukane kdg..
'pumav sna ww'
umenifanya niangue cheko mbele za watu mpka wananishangaa bhna.!
 
muandae vizuri mpaka atoe vimajimaji kwenye K, paka mafuta mb**o na hata K yake fanya tendo bila kutumia nguvu kubwa......jitahidi upizi haraka na uingie bafuni fasta uoshe mb**o yako kwa maji safi na sabuni........

NB: ufundi kamfanyie mkeo au mpenzi wako wa uhakika ambaye mnapimaga naye wote, usitafute sifa kwa malaya.
 
Ha haa haaa haaaaaa haaaaaa.
ebwaba naomba uniruhusu nkutukane kdg..
'pumav sna ww'
umenifanya niangue cheko mbele za watu mpka wananishangaa bhna.!
aaaaah mimi mwenyewe nimejikuta naandika huku nacheka.
 
Zamani ilikuwa inakinga kwa asilimia kubwa,lakini siku hizi wazee kwa vijana nao wameporesha vitendea kazi,midomo nayo inatumika,labda ziandaliwe mpaka za midomoni
 
muandae vizuri mpaka atoe vimajimaji kwenye K, paka mafuta mb**o na hata K yake fanya tendo bila kutumia nguvu kubwa......jitahidi upizi haraka na uingie bafuni fasta uoshe mb**o yako kwa maji safi na sabuni........

NB: ufundi kamfanyie mkeo au mpenzi wako wa uhakika ambaye mnapimaga naye wote, usitafute sifa kwa malaya.
sawa kabisa wala huna sababu ya kupakamia sana tuache kuiga ujinga wa kwenye picha za x tutakufa vibudu.
 
Back
Top Bottom