tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Kupiga kavuuchukuchuku ndo nn
Kupiga kavuuchukuchuku ndo nn
Kugegeda bila condom yaan nyama kwa nyamachukuchuku ndo nn
Naona mpaka sasa hamna alileta jibu watu wanapiga zogo ndio nashangaajibu lipi sasa wkt mm nataka kufaham
Kiungo kinapaswa kuongeza ladha,toka lini condom ikaongeza ladha.Kula visivyoungwacondom ni kiungo
![]()
condom inazuia ukimwi kwa 70% hzo 30% ni za kissing na mauchafu mengneHabarini za humu wadau,
Kuna kaswali kananitatiza sana hivi uhakika wa kondomu kuukinga mwili dhidi ya gonjwa la UKIMWI ni kwa asilimia ngapi.
Au niulize hivi labda inapotekea mtu ametumia kinga kujamiiana na mtu mwenye VVU inakua ni tahadhari zipi hajafuata katika matumizi ya kondomu.
chukuchuku ndo nn

Habarini za humu wadau,
Kuna kaswali kananitatiza sana hivi uhakika wa kondomu kuukinga mwili dhidi ya gonjwa la UKIMWI ni kwa asilimia ngapi.
Au niulize hivi labda inapotekea mtu ametumia kinga kujamiiana na mtu mwenye VVU inakua ni tahadhari zipi hajafuata katika matumizi ya kondomu.
Ukijibu swali hili, utakuwa umeweza kujua kama kondom inazuia virusi au huwa tunajiliwaza tu. Hivi ukitaka kufanya ngono na mtu ambaye humuamini na yeye anakuambia kuwa ni afadhali uvae tu maana yeye ana maambukizi, ni bora ujikinge, utaendelea na tendo?