Kondomu ni kinga kwa asilimia ngapi?

Kondomu ni kinga kwa asilimia ngapi?

Matumizi sahihi ya kondom yana asilimia kubwa ktk kupunguza uwezekano wa mtu kupata maambukizi ya VVU.

Note: Ukimwi upo na unaua muhimu kuwa mwaminifu.
 
kondom inazuia utamu tu wa mapenzi na sio ukimwi. ukijiona ni mzizi halafu upati ukimwi basi ni bahati tu unakutana na watu salama. kama unadhani uongo tafuta mpenzi aliyeathirika na ukimwi fanya nae na kondom zaidi ya mara tano hivi then kapime uone.
 
Ujinga Wa mwanamme.

Unavaa kondomu wakati mmenyonyana midomo ,, umenyonya matiti.

Anyway ,,, Kondom inazuia HIV ndio.
nan kakwambia mate yanaambukiza ukimwi???
ushawahi kwenda kupima ukimw wakakuomba mate kwa ajili ya kupima badala ya damu??

kunyonyana sio tatzo unajua hata mama mwenye ukimwi ananyonyesha mtt kabla hajaota meno? mtt akishaota meno ndo mama anakatazwa coz mtt anakua anang'ata ndo tatzo...sasa ww mtu mzma labda kama umetokea kolomije ndo unanyonya hadi unang'ata
 
Ukijibu swali hili, utakuwa umeweza kujua kama kondom inazuia virusi au huwa tunajiliwaza tu. Hivi ukitaka kufanya ngono na mtu ambaye humuamini na yeye anakuambia kuwa ni afadhali uvae tu maana yeye ana maambukizi, ni bora ujikinge, utaendelea na tendo?
mbona watu wana gonga malaya kwa condom??
 
nan kakwambia mate yanaambukiza ukimwi???
ushawahi kwenda kupima ukimw wakakuomba mate kwa ajili ya kupima badala ya damu??

kunyonyana sio tatzo unajua hata mama mwenye ukimwi ananyonyesha mtt kabla hajaota meno? mtt akishaota meno ndo mama anakatazwa coz mtt anakua anang'ata ndo tatzo...sasa ww mtu mzma labda kama umetokea kolomije ndo unanyonya hadi unang'ata
Mungu akusaidie ,, ila duuuhhh mwalim wako alikua nakazi kweli kweli.

Wapi nmesema mate ??? Kwan huwa mnanyonyana mate au lips za midomo na ndimi ???/

Heeeeeeee kuna haja ya kuwapima mkojo ma first year.
 
nan kakwambia mate yanaambukiza ukimwi???
ushawahi kwenda kupima ukimw wakakuomba mate kwa ajili ya kupima badala ya damu??

kunyonyana sio tatzo unajua hata mama mwenye ukimwi ananyonyesha mtt kabla hajaota meno? mtt akishaota meno ndo mama anakatazwa coz mtt anakua anang'ata ndo tatzo...sasa ww mtu mzma labda kama umetokea kolomije ndo unanyonya hadi unang'ata
 
Nishawahi kuwakata maji we vvu ,hadi wa3 tena wawil wakiwa blidi bahat mbaya. Situmiag kondom throughout my life, siwezi, kunamda najiuliza labdq kwasabab maumbile yangu ya dic****k ni membamba marefu, hvyo kuchubuka si rahs au mungu wang tu anlinda, au dam nzr cjui,

Hadi leo natom****b mwenye ako na vvu, namsihi aatumie dawa vzur na aache pombe.

Good fool
 
Kama haijapasaku inagonga 100% yaani 99.9999% ili kupata maambukizi inabidi probability nyingi sana zigongane kwa wakati mmoja kiasi cha kwamba ukivaa condom chance zako za kupigwa radi siku yenye jua kali ni kubwa zaidi.
Hapa cjaelewa
 
Habarini za humu wadau,

Kuna kaswali kananitatiza sana hivi uhakika wa kondomu kuukinga mwili dhidi ya gonjwa la UKIMWI ni kwa asilimia ngapi.

Au niulize hivi labda inapotekea mtu ametumia kinga kujamiiana na mtu mwenye VVU inakua ni tahadhari zipi hajafuata katika matumizi ya kondomu.

kuuliza si ujinga....
hivi kwani ukikosa Condom si hata kanfuko keusi kale ka tsh 50/100/- unaweza tumia eeh..???
 
Nishawahi kuwakata maji we vvu ,hadi wa3 tena wawil wakiwa blidi bahat mbaya. Situmiag kondom throughout my life, siwezi, kunamda najiuliza labdq kwasabab maumbile yangu ya dic****k ni membamba marefu, hvyo kuchubuka si rahs au mungu wang tu anlinda, au dam nzr cjui,

Hadi leo natom****b mwenye ako na vvu, namsihi aatumie dawa vzur na aache pombe.

Good fool

duuh we kwl good fool
 
mmh! Hadi umefungua ID mpya kwa ajili ya kuulizia matumizi ya condom, hahahahahahahhahahaha
 
kondom inazuia utamu tu wa mapenzi na sio ukimwi. ukijiona ni mzizi halafu upati ukimwi basi ni bahati tu unakutana na watu salama. kama unadhani uongo tafuta mpenzi aliyeathirika na ukimwi fanya nae na kondom zaidi ya mara tano hivi then kapime uone.

dooh kweli mitishano sio ya nchi hii
 
nan kakwambia mate yanaambukiza ukimwi???
ushawahi kwenda kupima ukimw wakakuomba mate kwa ajili ya kupima badala ya damu??

kunyonyana sio tatzo unajua hata mama mwenye ukimwi ananyonyesha mtt kabla hajaota meno? mtt akishaota meno ndo mama anakatazwa coz mtt anakua anang'ata ndo tatzo...sasa ww mtu mzma labda kama umetokea kolomije ndo unanyonya hadi unang'ata
lakini unachopaswa kujua katika kukutanisha midomo na kunyonyana kunakuwa na msuguana unaoweza leta michubuko au we mwenzetu mpenzi wako anakukusanyia mate wewe unayafyonza na kusepa bila ndimi na lipsi kusuguana?
 
Back
Top Bottom