Kondomu ni kinga kwa asilimia ngapi?

Kondomu ni kinga kwa asilimia ngapi?

Lorenzo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
530
Reaction score
644
Habarini za humu wadau,

Kuna kaswali kananitatiza sana hivi uhakika wa kondomu kuukinga mwili dhidi ya gonjwa la UKIMWI ni kwa asilimia ngapi.

Au niulize hivi labda inapotekea mtu ametumia kinga kujamiiana na mtu mwenye VVU inakua ni tahadhari zipi hajafuata katika matumizi ya kondomu.
 
uhakika wa condom ni 98.99%.ukimwi upo na usiufanyie masihara please condomise
 
Hata kavu inazuia ukimwi..kikubwa zuia michubuko tu..sasa wakamia mbunye hii kitu inakua ngumu sana..sometimes bwawa ni muhimu katika kupunguza maambukizi kwa maana hakunaga michubuko ni mwendo wa kuogerea tu..

NB: tumia ndom kwa uhakika zaidi..
 
Kwanza kondom ina zuia nini!? Ukianzia hapo utapata majibu kama ni mimba inaweza kuzuia pia inaweza isizuie na kama ukimwi pia ni probability na possibility inategemea unaweza kuitumia ama unaitumia kwann
 
Back
Top Bottom