Sasa kila mtu atumie katika kila tendo kweli tutaongezeka katika ulimwengu huu kama maandiko yasemavyo. Wengine tunapiga pekupeku kutafuta watoto mambo yakibuma mbele kwa mbele
Hapa huwakuti wadada.! Wao ndio wanaongozaga kutuzuia tusitumie kinga. Ukishamjigijii kama safari mbili, ya tatu anakwambia 'usitumie baby'! Nyambafu mie ntakuaminije? Naongea hivi nikiwa na experience ya wasichana wengi tuliogegedana(sitataja idadi nisijeachwa na amu). Kuna mmoja mpaka alizira kunipa mzigo kisa anataka kuonja peku peku ntamkunaje!
To be frankly kuna watoto wengine hata wengekuja na vyeti vya ugonjwa pendwa na wakawa wameshaungua ni lazima uingie tu...kuna hawa watoto ambao ni wavivu kufungua macho hawa whom kila kitu ni ooh baby!
We Mentor naona hunakumbukumbu tangu escape1 umevurugwa kabisa kama Nicas Mtei ni M/kiti nakupa pole wewe unajiweka wapi mbona unaelea elea??hivi Asprin ninani vile kuu la mabazazi O mama!Kafunue vitabu vya New Genesis utazame utakuta jina la Mentor ulilolisahau na kitabu cha Old Genesis utakuta jina Asprin