Kondom kinga..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kondom kinga.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Engager, Jun 1, 2011.

 1. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamani kondom si nikinga dhid ya mambo yetu yale? Kitu ambacho huwa kinanshangaza mimi ni kwanini mtu akionekana ana kondom ama kaishika ama akaidondosha mbele za watu, watu wanamshangaa sana utafikiri na ktu kgeni sana wakati wengi wetu tunavtumia vitu hivi mara kwa mara tu?
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  hahaha.. ni sawa na binti unapoolewa ukipata mimba unaogopa
  kwenda salimia maana ina prove kua you are really doing it!

  But ni kasumba tu mbovu ila naona inapungua na watu kabadilika
  maana nime observe wakaka wengi wanabeba kwenye wallets as well
  as wadada... ingawa zinakaa kama accessories hazitumiki...
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Ndio ni kinga ila inatakiw aiwe sirini maana inakotumika huwa hakuonekani ndo maana ukiidondosha watu wanakushangaa unatoaje kitu cha sirini hadharani
  Ni kama kudondosha chu*** mbele ya kadamnasi kila mtu anajulikana anavaaa hiyo kitu wether boxer au chu**** yenyewe ila ukiidondosha ni kitu cha ajabu sana
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kwa sababu wanajua unakwenda kufanya ngono na ngono wengi tunachukulia ni tendo la siri...kwa hyo lazma wakushangae
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  sababu inahusiana na tendo la MATUSI hahahaha
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahahha lol
  kuna nchi fulani niliendaga
  mmhh wanazigawa shuleni
  kwa kila mtoto mwenye miaka 17
  nakuendelea.. teenager kuanzia miaka 15 mwenye bf/gf mzazi
  anamnunulia.. ukienda clubin
  unazitoa tu kwenye vending machine kwa $1 tu.....

  kwa binafsi sintomshangaa nikimwona mtu kabeba kwanza
  ntamokotea akidondosha mmmmhh
   
 7. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka nikiwa form2 dokta mmoja alipita kwenye gari kjjn kwetu anazgawa. Kati ya wengi walio chukua alikuwepo pia mzee mmoja, old enough around 85 years alipewa. Ila mimi nikanyimwa. Does ths make sense?
   
 8. Ole Tetian

  Ole Tetian Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ni tendo la matusi ?hapana ni tendo la ndoa kwa wanandoa na ni usinzi kwa wasio wanandoa!
   
 9. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Watu wanachukulia tendo zima la ngono ni aibu ndio maana wengi wetu wanafanya huku taa wamezima, wengine wamefumba macho
   
 10. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,261
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Naona ni kutokuelewa tu!
  ni kama walokole na mnywa pombe
   
 11. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Umeona eeeeeee
   
 12. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mara nyingi hutumika kwa "shughuli ya ukingaji",ni nadra sana kwa wanandoa kutumia, kwa hivyo hata ukiwa mtu mzima huonekana wewe unaenda kucheza 'AWAY' game, ndo hapo macho yoote waaahhh
   
 13. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  unajua this is funny. umeolewa halafu unaficha mimba!!! halafu ficha yenyewe bac, unaiwekea kanga! nani mwinginew anawekaga kanga toka begani kushuka tumboni kama c mja mzito? sielewagi ni kuficha au kutangaza...

  enhe na condoms zinazokaa kama accessories halafu hazitumiki ndo nini? sasa kwa nini ziwepo kama hazitumiki?
   
 14. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nakubaliana nawe kuhusu kutumika kwa nadra kwa condoms kwa wanandoa. ndo maana hata ukienda kununua dukani, na bahari mbaya wauzaji wengi madukani ni wadada, akikuona na pete yako anakuwa na mshangao fulani hizi usoni, like u r going to cheat your marriage!!!
   
 15. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  alaaa, kumbe wale wanaofunga macho ukiwazimia taa ... watayafungua!!!!
   
 16. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukidondosha wana kushangaa kwa sababu condom sio balooon ya kupapia kwenye ukumbi wa sherehe.:car:
   
 17. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni sawa na kutembea na nguo ya ndani barabarani, si kila mtu atakushangaa?
   
 18. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kondom siyo kinga! Kinga ni kuacha maana sisi hatujui kuzitumia kwa umakini! Unavaa sehemu haina mchubuki lakini sehemu zenye vipele unaziacha zinagusana na majimaji! Tupeane pole lakini nimegundua maambukizi tunayapatia sehemu nyingine kabisa. Au siyo wajameni masharobaro mnaopenda mnato? Unatoka umetapakaa maji kila sehemu halafu eti umetumia condom?! Ee Mungu ni wewe pekee uwezaye kutulinda maana kwa ujanja wetu mimi tayari nilishakata tamaa !
   
 19. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Jaribu uone
   
Loading...