Kondom chuoni majanga.....

yamoyoni mwangu

Senior Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
106
Reaction score
31
Bila shaka mko poa....

huku chuoni kuna program inaendelea ya kugawa kondom buree kabisa..... hii mambo iko poa but tatizo ni kwamba wagawaji wanaonekana hawako siriaz kabisa... wanatoa kondomu bila kuwaelekeza namna sahihi ya kutumia ok... pengine wanaamini kwa level hii watu watakuwa wanajua matumizi yake...lakini wangekuwa wanatoa hata maelekezo ya namna sahihi ya kutunza kondom zao kuna washikaji wanatunza chini ya magodoro, kwenye makabati ya nguo, wengine wanacha rafu tuu... wengine waazimana kama nguo...

kuna wengine wanashindwa kutumia zana zao ingawa wanazo....kuna jamaa nilisikia anamwambia jamaa ake.. unajua ilkuwa fasta then nikakumbuka zana ziko mbali kinoma nikaona nipige tu fasta then nifanye yangu....kwa mwendo huu tutakwisha ndugu zangu....nadhani nimesomeka kwa poa.....GWALAAA :closed_2:
 
Kweli hayo ni yamoyoni mwako?? na jee uliwambia hao jamaa watoe elimuu??
 
Jamani ninyi 'wasomi' angalieni na threads za kuanzisha! Khaaaa....chuo gani unasoma?
 
safi sana kwa kuanza kugawa kondomu ila vijana tuamke mana ukimwi upo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…